Ufisadi imekuwa shida la kila siku hapa Afrika, ni ajabu kuwa jawabu ya janga hili halijaweza kupatikana.
Ni bayana sayana kuwa ufisadi inarudisha nchi mingi za Afrika nyuma. Iwapo ufisadi haitashughulikiwa Afrika itabaki nyuma kimaendeleo na uchumi.
Je, unaona nini lafaa kufanyika ili kupuguza au kumaliza ufisadi Afrika?
Asante Sana.
Nini inafaa kufanywa ili kupunguza ufisadi Africa?
Shea
Kila mtu ana jukumu la kumaliza ufisadi. Sio viongozi pekee lakini sisi wenyewe pia. Kwa mfano, usipomhonga afisa wa polisi unapopatikana na makosa basi hapo utakuwa umemwondolea lawama ya kuwa mfisadi.
Kila mtu ana jukumu la kumaliza ufisadi. Sio viongozi pekee lakini sisi wenyewe pia. Kwa mfano, usipomhonga afisa wa polisi unapopatikana na makosa basi hapo utakuwa umemwondolea lawama ya kuwa mfisadi.
Angalia kidogoKila mmoja anafaa kuchangia katika kukabiliana na ufisadi hapa mahali popote duniani. Hasa nchi za Kiafrika zimeadhirika sana na ufisadi. Kenya ikiwa mojawapo ya nchini zilizokuwa na kiwango cha juu cha ufisadi. Serikali inapswa kuwa na sheria kali ambazo zitatoa athabu kwa yeyote atahusika na ufisaSoma zaidi
Kila mmoja anafaa kuchangia katika kukabiliana na ufisadi hapa mahali popote duniani. Hasa nchi za Kiafrika zimeadhirika sana na ufisadi.
Kenya ikiwa mojawapo ya nchini zilizokuwa na kiwango cha juu cha ufisadi. Serikali inapswa kuwa na sheria kali ambazo zitatoa athabu kwa yeyote atahusika na ufisadi.
Wananchi wasihusishe na vitendo vya ufisadi na kufuata njia halali kila wakati.
Angalia kidogoUfisadi upo kwa wingi. Watu wenyewe wanaweza kubadilisha ufisadi kwa kupigia kura wagombea walio nje ya mfumo wa siasa. Hasa Kenya - ukabila unakanganya vita dhidi ya ufisadi.
Ufisadi upo kwa wingi. Watu wenyewe wanaweza kubadilisha ufisadi kwa kupigia kura wagombea walio nje ya mfumo wa siasa. Hasa Kenya – ukabila unakanganya vita dhidi ya ufisadi.
Angalia kidogoKujenga mwamko kwa wananchi ili waelewe namna dhana ya maendeleo inavyofanya kazi. Pia ni muhimu wananchi kufahamu namna ya kuwawajibisha viongozi wao.
Kujenga mwamko kwa wananchi ili waelewe namna dhana ya maendeleo inavyofanya kazi. Pia ni muhimu wananchi kufahamu namna ya kuwawajibisha viongozi wao.
Angalia kidogo