Serikali inapaswa kukubalia waumini kuweza kufanya mikutano ya dini. Serikali za nchi nyingi duniani, ambazo zimeathirika na Corona wameweza kukatiza mikutano yeyote ile inayo husika watu wengi. Hii ni kwa ajili ya kuzuia uenezi wa Corona. Je, ni vyema watu kukusanyika kwa ajili ya kufanya mikutano ya dini?
Shea
CarolGK
Mkutano ni mkutano ata ule wa kanisa ni mkutano. Ugonjwa hautambui haina ya mkutano na mikutano kama hii ndiyo inayochangia eneo la maambukizi ya Corona. Kwa hivyo ni vyema watu wakumbatie mfumo wa kidijitali wa kufuatilia mahubiri kwenye simu za rununu, redio ama televisheni. Pia watu wanaweza kwenSoma zaidi
Mkutano ni mkutano ata ule wa kanisa ni mkutano. Ugonjwa hautambui haina ya mkutano na mikutano kama hii ndiyo inayochangia eneo la maambukizi ya Corona. Kwa hivyo ni vyema watu wakumbatie mfumo wa kidijitali wa kufuatilia mahubiri kwenye simu za rununu, redio ama televisheni.
Pia watu wanaweza kwenda makanisani na misikitini iwapo watafuatilia masharti ya serikali na shirika la afya kama vile kuudhuria ibada watu wasiozidi mia moja, watu wazee na watoto kutohudhuria ibada, kuosha mikono kwa sabuni na maji au vitakasa mikono kabla ya ibada, kuweka umbali wa kilomita moja na nusu kati ya waumini na kuvaa barakoa katika maeneo ya ibada. Hivyo tutakuwa tumeweka tahadhari.
Ata hivyo ningependa kuwakumbusha kuwa kumjua Mungu ni roho na wala sio mikusanyiko.
Angalia kidogoNilote4life
Watu wajigundue dini katika moyo zao. Dini za kuunganisha waafrika ndio uzoefu wao na ukarimu wao. Haya kama waafrika hawawezi kufanya mikutano kanisa basi tutaendelea nyumbani, VOIP, ama simu za mikononi.
Watu wajigundue dini katika moyo zao. Dini za kuunganisha waafrika ndio uzoefu wao na ukarimu wao. Haya kama waafrika hawawezi kufanya mikutano kanisa basi tutaendelea nyumbani, VOIP, ama simu za mikononi.
Angalia kidogoERIC
Mikutano ya kidini inaweza kueneza ugonjwa wa Korona. Kwa hili Serikali za nchi site duniani zinafaa kukataa mikutano ya kanisa. Kutumia digitali ya kisasa mhubiri anaweza hubiri kutoka nyumbani na wafuasi wake wanaeeza kufuatilia ibanda kutoka makwao. Ni muhimu watu kuelewa kuwa iwapo utaomba au usSoma zaidi
Mikutano ya kidini inaweza kueneza ugonjwa wa Korona. Kwa hili Serikali za nchi site duniani zinafaa kukataa mikutano ya kanisa. Kutumia digitali ya kisasa mhubiri anaweza hubiri kutoka nyumbani na wafuasi wake wanaeeza kufuatilia ibanda kutoka makwao. Ni muhimu watu kuelewa kuwa iwapo utaomba au usali na uamini Mwenyezi mungu atakusikia na kujibu maombi yako.
Asante.
Angalia kidogo