Kuna wagonjwa wa Korona wanaopona na wengine kufariki. Ni Kweli Mili ya wagonjwa hawa inaweza kuleta madhara mengi sana kwa watakao ikaribia bila kuzigatia kanuni za afya.
Juzi kuna video ya mkenya mmoja iliyosambaza kwenye runinga kuonyesha jinsi mgonjwa mmoja aliweza kuzikwa na Madaktari bila kuzigatia Mila yeyote.
Je, ni vyema kuwazika wafu hawa bila kuzigatia mila zao?
Ni vyema kuwazika waliodhirika na ugonjwa wa Korona bila kuzikatia Mila zao?
Shea
CarolGK
Kinachofaa kufuatiwa kwa sasa hivi ni sheria za wizara ya afya na wala sio mila. Hizi sheria zimetengenezwa ili kutulinda sisi wenyewe kutokana na hadhari za virusi vya Corona. Inafaa tuzifuatilie kwa uwepo wetu wenyewe kwani ata mila zingine zimepitwa na wakati.

See lessJoylee
wakati huu nchini inapopambana na virusi vya Corona, cha muhimu ni kulinda wakenya wasiathirike ma virusi hivi hatari. Kwa hivyo, ni vyema wale waliaga kutokana na Corona kuzikwa kulingana na amri iliyotolewa na serikali ya Kenya. Hii ni kwa ajili yetu sisi wananchi.

See lessNilote4life
Inabidi kutambua mila za kila mtu ndio tusiwe kama mwonezi. Watu ambao walijulikana sana bara la Afrika. Sina jibu kwa kisa kilichotokea Kenya ila kusema tu tujaribu daima kufuatilia angalau kitu kidogo cha utamaduni wetu.

See less