Bila shaka ni vyema katika hali ya kawaida lakini ktk huu muda wa kutengamana naona inabidi kuchungu vizuri. Kama wazazi wanategemea usaidizi wako basi pata namna ya kuendeleza sapoti lakini kama wako wazee sana labda usiende kutokana na hatari utakayo waletea. Haya yatakuwa ngumu sana kwa maisha yaSoma zaidi
Bila shaka ni vyema katika hali ya kawaida lakini ktk huu muda wa kutengamana naona inabidi kuchungu vizuri.
Kama wazazi wanategemea usaidizi wako basi pata namna ya kuendeleza sapoti lakini kama wako wazee sana labda usiende kutokana na hatari utakayo waletea.
Haya yatakuwa ngumu sana kwa maisha ya kawaida kwetu Afrika. Waafrika ni watu waliozoea kushirikiana sana na wazazi na wahanga. Namna ya kuendelea itakuwa ngumu. Namna ya kurejea utamaduni asilia itakuwa ngumu.
Wakati huu wa janga la Corona haifai hata kidogo. Ukizingatia watu wengi wanaoishi mashinani ni watu wenye umri wa makamo ambao wako kwenye hatari zaidi kuambukizwa ugonjwa wa Corona. Ni bora watu wangoje corona iishe kwanza kabla kuanza kusafiri mashinani kuliko kwenda kuhatarisha maisha ya wazaziSoma zaidi
Wakati huu wa janga la Corona haifai hata kidogo. Ukizingatia watu wengi wanaoishi mashinani ni watu wenye umri wa makamo ambao wako kwenye hatari zaidi kuambukizwa ugonjwa wa Corona. Ni bora watu wangoje corona iishe kwanza kabla kuanza kusafiri mashinani kuliko kwenda kuhatarisha maisha ya wazazi wao kwa kutoka Nairobi na Mombasa ambako ugonjwa umekita na kuelekea mashinani.
Kutembelea wazazi inafaa lakini muda huu kuna ugonjwa wa Korona Jambo ili halifai kamwe. Huenda ukawa na virusi vya Korona ila tu hazijaenea kabisa. Virusi za Korona zinaweza kusambazwa hata kama bado hazionekani kwa mwili borake ukonazo. Wazazi wamezeeka na Mili ya haina kinga za kotosha kupigana nSoma zaidi
Kutembelea wazazi inafaa lakini muda huu kuna ugonjwa wa Korona Jambo ili halifai kamwe.
Huenda ukawa na virusi vya Korona ila tu hazijaenea kabisa. Virusi za Korona zinaweza kusambazwa hata kama bado hazionekani kwa mwili borake ukonazo.
Wazazi wamezeeka na Mili ya haina kinga za kotosha kupigana na magonjwa. Kwa kuwatembelea unaeza kuwaambikiza ugonjwa huu.
Kwa hiki hufai kutembelea wazazi wako wakati huu wa Korona.
Upendo

Angalia kidogoCarolGK

Angalia kidogoERIC

Asante.
Angalia kidogo