Serikali ya Kenya ilitoa amri ya mazishi kuudhuriwa na watu wasizidi kumi na watano ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Korona.
Kila mtu hutamani kuwapa rafiki, ndungu au jamaa wake heshima ya mwisho.
Ni Kweli watu wengi huwa na rafiki na ndungu wanaozidi kumi na watano.
Kutokana na amri ya Serikali itabidi rafiki na ndungu wengine wasihudhurie mazishi.
Kwa maoni yako amri hili lafaa?
Asante Sana.
Ni vyema kunyima watu kuzika jamaa wao?
Shea
CarolGK
Hii ni mbinu ya kuzuia mikusanyiko ya watu ambayo pia inaweza kuongeza maambukizi ya Corona. Kwa hivyo naona kuwa ni jambo la busara. Tamaduni zingine zimekadiriwa zaidi.
Hii ni mbinu ya kuzuia mikusanyiko ya watu ambayo pia inaweza kuongeza maambukizi ya Corona. Kwa hivyo naona kuwa ni jambo la busara. Tamaduni zingine zimekadiriwa zaidi.
See lessCloudy2
Si vyema - lakini kama kila kitu duniani inabidi kusawazisha vitu vizuri vinavyoshindana. Kwa hivyo swali letu labda ni hivi: tunachukua hatua mno dhidi utamaduni wetu kwa ajili ya corona? Mimi nimeanza kushuku haitakuwa kibaya tulivyofikiria mwanzoni lakini wacha tuendelee na makini. Haya ni seriSoma Zaidi
Si vyema – lakini kama kila kitu duniani inabidi kusawazisha vitu vizuri vinavyoshindana.
Kwa hivyo swali letu labda ni hivi: tunachukua hatua mno dhidi utamaduni wetu kwa ajili ya corona? Mimi nimeanza kushuku haitakuwa kibaya tulivyofikiria mwanzoni lakini wacha tuendelee na makini. Haya ni serious.
See lessJoylee
Si vyema ila kufuatia idadi ya watu wanaougua Corona kuongezeka ni sharti sheria izi zifuatiliwe. Serikali inafanya jinsi iwezavyo kuthibiti Corona, basi wanachi pia waungane mikono kwa kufuata sheria mpya za serikali.

See less