Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Jitambulisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
JitambulishaJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Vyeo
    • Vyeo
    • Matuzo
    • Watumiaji Wengine
  • Kutuhusu
    • Kutuhusu
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Profile menu

  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Ufuasi
    • Maswali Unayofuata
    • Watu Unaofuata
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 07/11/2022 saa 11:39 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 06/11/2022 saa 12:38 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 02/08/2022 saa 3:01 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 03/07/2022 saa 3:35 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 01/04/2022 saa 6:17 mu
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
    • Wasifu
    • Faragha
    • Barua Pepe
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 7856
Inashughulikiwa
ERIC
ERIC
aliuliza 04/05/20202020-05-04T02:05:02-03:00 2020-05-04T02:05:02-03:00kwa Umataifa

Ni rais mgani umpendaye zaidi duniani?

Duniani nchi mbalimbali zinaongozwa na Rais tofauti tofauti. Pia kuna Rais ambao walitoka mamlakani. Rais wote wana matendo tofauti tofauti lakini lazima matendo ya Rais mmoja yalikufurahisha ama yanakufurahisha.
Huku ukitoa sababu eleza ni rais mgani unayempenda zaidi duniani?

  • 0
  • 2
  • 0
Jibu
Shea
  • Facebook

    2 Majibu

    • Kura
    • Mapya
    • Zamani
    1. CarolGK Napenda lugha
      2020-06-30T03:02:44-03:00Alijibu tarehe 30/06/2020 saa 3:02 mu

      Nilimpenda sana hayati Nelson Mandela aliyekuwa rais wa Afrika Kusini. Alipigania sana uhuru wa Afrika mashariki na usawa wa watu weusi kwa watu weupe katika nchi ambayo kulikuwa na ubaguzi sana wa rangi. Hongera sana Mheshimiwa Mandela. Ijawapo uliondoka, matendo yako mema yatakumbukwa milele.

      Nilimpenda sana hayati Nelson Mandela aliyekuwa rais wa Afrika Kusini. Alipigania sana uhuru wa Afrika mashariki na usawa wa watu weusi kwa watu weupe katika nchi ambayo kulikuwa na ubaguzi sana wa rangi. Hongera sana Mheshimiwa Mandela. Ijawapo uliondoka, matendo yako mema yatakumbukwa milele.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp
    2. Cloudy2 Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
      2020-05-05T03:37:12-03:00Alijibu tarehe 05/05/2020 saa 3:37 mu
      Jibu hili lilibadilishwa.

      Ahmed Abih ya Ethiopia - ndi yeye aliwahi kuibuka mshindi katika nchi ambayo ilikuwa inashuku sana watu wenye ukabila wake yaani oromia.  Sasa anajitahidi kutawala akishugulikia mahitaji ya watu wote lakini sio tu kwa upande wa kioromo.  Tena katika vurugu iliotokea Sudan, alitembelea kusapoti demokSoma zaidi

      Ahmed Abih ya Ethiopia – ndi yeye aliwahi kuibuka mshindi katika nchi ambayo ilikuwa inashuku sana watu wenye ukabila wake yaani oromia.  Sasa anajitahidi kutawala akishugulikia mahitaji ya watu wote lakini sio tu kwa upande wa kioromo.  Tena katika vurugu iliotokea Sudan, alitembelea kusapoti demokrasia na haki za binadamu.  Alipata tuzo la nobel laureate lakini yeye anatoboa njia yake ya pekee.  Tena alinusurika kwenye jaribio shindwe  la kumuua.  Maana ya hiyo ni kwamba anabadilisha Ethiopia sana mpaka maadui wake walijaribu kummaliza.  Hiyo ndio namna moja ya kujua mtu anabatilisha nchi kwa ukweli. Walio mamlakani hawaachi utawala wao kirahisi.

      Angalia kidogo
      Ni rais mgani umpendaye zaidi duniani?
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 29/07/2020
      • Majibu: 0

      Je, kuna athari gani kwa nchi za Afrika kutokana na ...

      • Tarehe: 19/06/2020
      • Jibu: 1

      BBC Swahili inasikika katika nchi ngapi?

    • Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo cha George Floyd?
      • Tarehe: 06/06/2020
      • Majibu: 3

      Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo ...

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Donald Trump ameweza kuthibiti Korona Marekani au la?

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Majibu: 2

      Je, ni kwa vipi janga la virusi vya korona limeathiri ...

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Jibu: 1

      Je wazo lako ni gani kufuatilia ugonjwa hatari wa Korona?

    • Je, ushatimiza ndoto yako ya utotoni?
      • Tarehe: 30/05/2020
      • Jibu: 1

      Je, ushatimiza ndoto yako ya utotoni?

      • Tarehe: 25/05/2020
      • Majibu: 2

      Tanzania kuruhusu watalii ni Jambo mzuri?

      • Tarehe: 23/05/2020
      • Majibu: 2

      Hatua ya Nchi mingi duniani kuamua kuendelea na shughuli zao ...

      • Tarehe: 22/05/2020
      • Majibu: 2

      Je kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani inatengemea ...

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Vyeo
      • Vyeo
      • Matuzo
      • Watumiaji Wengine
    • Kutuhusu
      • Kutuhusu
      • MUS (maswali ulizwa sana)

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi
    • swSwahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrancais