Nchi zilizoendelea zinaendeleza masomo Yao kawaida kupitia mitandao ya kidijitali.
Nchi mingi Afrika hazijajiendeleza na wanafunzi wanafaa kuendelea na masomo Yao.
Je Afrika Masomo inaweza endelea?
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
CarolGK
Ndio. Afrika inafaa kukumbatia mfumo wa kusoma mitandaoni ila sio rahisi kwa ajili ya ukosefu wa vyombo vya teknolojia vinavyohitajika.
Ndio. Afrika inafaa kukumbatia mfumo wa kusoma mitandaoni ila sio rahisi kwa ajili ya ukosefu wa vyombo vya teknolojia vinavyohitajika.
Angalia kidogoCloudy2
Je Afrika Masomo inaweza endelea? Shule za Afrika hazina zana kama zile za nchi tajiri duniani kwa hivyo jibu ni hapana. Lakini bado mimi natakia Afrika ukinga dhidi ya virusi.
Shule za Afrika hazina zana kama zile za nchi tajiri duniani kwa hivyo jibu ni hapana.
Lakini bado mimi natakia Afrika ukinga dhidi ya virusi.
Angalia kidogo