Ugonjwa wa Korona umeweza kusimamishwa shughuli mingi sana.
Sasa hivi ndo tunaelewa kuna shughuli ambazo tulikuwa tunazifanya ili kujifurahisha au shughuli za kila siku.
Vitu tuliodhania kuwa kawaida si kawaida tena.
Je, ni shughuli gani ambayo unatamani kutekeleza?
Ni nini unatamani kufanya lakini huwezi kutokana na Sheria ziliotelewa za kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Korona?
Shea
Nataka kufanya tizi kwa gym lakini hapo si ni mahali pabaya kuliko pengine pote? Haya kukwama ndani na mke basi...
Nataka kufanya tizi kwa gym lakini hapo si ni mahali pabaya kuliko pengine pote? Haya kukwama ndani na mke basi…
Angalia kidogoNatamani sana kuwaona wazazi wangu, ila tu janga hiki ka Korona limenizuia. Hii ni kwa sababu ya lockdown katika maeneo tofauti nchini. Nitafurahi iwapo Korona itaweza kuisha ili nikawatembelee wazazi wangu nyumbani.
Natamani sana kuwaona wazazi wangu, ila tu janga hiki ka Korona limenizuia. Hii ni kwa sababu ya lockdown katika maeneo tofauti nchini. Nitafurahi iwapo Korona itaweza kuisha ili nikawatembelee wazazi wangu nyumbani.
Angalia kidogoNatamani kurudia hali yangu ya kibiashara kama awali lakini kwa sasa hivi ombi langu kuu ni ugonjwa wa corona uweze kuisha kwanza.
Natamani kurudia hali yangu ya kibiashara kama awali lakini kwa sasa hivi ombi langu kuu ni ugonjwa wa corona uweze kuisha kwanza.
Angalia kidogo