Ugonjwa wa Korona ni ugonjwa hatari sana ambao unalazimisha watu kuishi kando na maisha waliyoyazoea. Kuna mambo mingi sana ambayo ungefanya awali lakini wakati huu huwezi kutekeleza.
He ni nini utakachofanya punde tu ugonjwa huu umefikia tamati?
Ni nini haswa utakachofanya punde tu ugonjwa wa Korona ukifikia tamati?
Shea
CarolGK
Mimi kitu cha kwanza nitakachofanya pindi tu janga la Corona litakapofika tamati, ni kurejelea biashara yangu. Biashara yangu inahusikana sana na mahoteli makubwa makubwa na kwa hivyo saa hii imehadhirika sana. Kwa hivyo tunaomba sana Mola atuondolee janga hili mapema.

Angalia kidogoOracle
Kitu cha kwanza kabisa ni kutoa taarifa kwenye hospitali ama kituo cha huduma za afya, na pia kujitenga ili kutoambukiza wengine.

Angalia kidogoJoylee
Ni mambo mingi ambayo wakenya wamenuia kufanya pindi tu Korona inapoisha. Iwapo janga hili litaweza kuishi hivi karibuni, ningependa sana kuwatembelea jamaa zangu sehemu mbali mbali hapa nchini. Kando na hayo, biashara zitaweza kurudi kama awali na wakenya kusadika kujijenga kimaisha.

Angalia kidogo