Kwa miaka mingi Afrika imeweza kubaki nyuma kimaendeleo. Nchi Afrika pia zimeonekana kuitaji usaidizi kutoka Nchi zingine mara kwa mara. Ukiangalia Nchi za Afrika zinafanya Sana ukulima wenye mazao, Dhahabu, Kopa na vitu nyingi ambazo zinaleta raslimali.
Je, mbona Afrika haiendelei😭?
Ni nini haswa inayozuia Afrika kuendelea?
Shea
CarolGK
Sababu inayofanya nchi za Afrika zisiendelee ni ufisadi na uongozi duni. Afrika ni bara lenye utajiri mwingi mno lakini utajiri huo umegawa kwa watu wachache sana ilihali kiwango kikubwa cha watu kinabaki maskini na kikihangaika. Pili, waafrika wanaamini sana kusoma na kuajiriwa kuliko kutumia akilSoma zaidi
Sababu inayofanya nchi za Afrika zisiendelee ni ufisadi na uongozi duni. Afrika ni bara lenye utajiri mwingi mno lakini utajiri huo umegawa kwa watu wachache sana ilihali kiwango kikubwa cha watu kinabaki maskini na kikihangaika.
Angalia kidogoJoylee
Uongozi duni unachangia zaidi katika kuzia nchi za kiafrika kuendelea. Ufisadi wa viongozi kupitia wizi wa mali ya umma. Iwapo viongozi watawajibika kazini, basi nchini nyingi zitaendelea kiuchumi.
Uongozi duni unachangia zaidi katika kuzia nchi za kiafrika kuendelea. Ufisadi wa viongozi kupitia wizi wa mali ya umma. Iwapo viongozi watawajibika kazini, basi nchini nyingi zitaendelea kiuchumi.
Angalia kidogoLuyela
Kwanza kabisa ni viongozi wabovu wapenda rushwa kutoka hizi nchi za Africa ndo wanakwamisha maendeleo ya nchi. Pili mfumo mzima wa elimu pia sayansi na teknolojia kwa Africa vipo nyuma sana. Ivo basi inatulazimu kutegemea zaidi misaada kutoka nchi za mataifa yaliyoendelea.

Angalia kidogoNilote4life
Naona waafrika wengi wanajiuliza hivi ndio ni suala kubwa inayobaki akilini. Kuna majibu mengi yakiwemo changamoto za ukoloni, ufisadi, historia, ama jiografia. Labda ni hizi zote. Shida enyewe ni kujua hatua gani zinafaa. Lakini kwa maoni yangu vitu viwili viko wazi sana; Waafrika wako tajiri mSoma zaidi
Naona waafrika wengi wanajiuliza hivi ndio ni suala kubwa inayobaki akilini. Kuna majibu mengi yakiwemo changamoto za ukoloni, ufisadi, historia, ama jiografia. Labda ni hizi zote. Shida enyewe ni kujua hatua gani zinafaa. Lakini kwa maoni yangu vitu viwili viko wazi sana;