Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Jilogisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
Weka sahihiJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Ziada
    • Kutuhusu
    • Vyeo
    • Tagi
    • Wenzako
    • MUS

Profile menu

ERIC
ERIC
  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.23/01/2021 saa 7:20 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.22/01/2021 saa 5:46 mu
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako21/01/2021 saa 4:48 mu
      • Admin alipiga kura kwa swali lako.21/01/2021 saa 4:48 mu
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako19/01/2021 saa 12:13 mu
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 7686
Inashughulikiwa
ERIC
ERIC

ERIC

  • Naweza
  • 39 Maswali
  • 42 Majibu
  • 0 Majibu Bora
  • 86 Pointi
Ona Wasifu
ERIC
Uliulizwa: 24/04/20202020-04-24T16:56:14-03:00 2020-04-24T16:56:14-03:00Katika: Siasa

Ni nchi gani inayoongoza kiuchumi?

Mara kwa mara kumekuwa na mjadala wa katika nchi zote duniani ni gani likichezwa inayoongoza kiuchumi?
China wamesemekana mara kwa mara kuwa ndo wanaongoza uchumi dunia yote.
Je, kwa maoni yako ni nchi gani inayoongoza kiuchumi?

  • 2
  • 4
  • 444
  • 0
Jibu
Shea
  • Picha za

    4 Majibu

    • yenye Kura
    • Mapya
    • ya Zamani
    1. Cloudy2

      Cloudy2

      • Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
      • 8 Maswali
      • 30 Majibu
      • 2 Majibu Bora
      • 92 Pointi
      Ona Wasifu
      Cloudy2 Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
      2020-04-25T04:50:03-03:00Alijibu 4:50 mu

      Inabidi kuangalia swali hili kwa mitazamo mbalimbali yafuatayo: Ukubwa wa Uchumi - kwa kipimo hicho ni Mmarekani.  Uchumi wao ni kubwa kuliko nchi zote zingine.  Ndio sababu nchi hiyo imekuwa ushawishi kubwa miaka hivi karibuni. Ukasi wa Uchumi - kwa kipimo hicho kawaida ni China ambayo inaongoza ncSoma zaidi

      Inabidi kuangalia swali hili kwa mitazamo mbalimbali yafuatayo:

      1. Ukubwa wa Uchumi – kwa kipimo hicho ni Mmarekani.  Uchumi wao ni kubwa kuliko nchi zote zingine.  Ndio sababu nchi hiyo imekuwa ushawishi kubwa miaka hivi karibuni.
      2. Ukasi wa Uchumi – kwa kipimo hicho kawaida ni China ambayo inaongoza nchi kwa upande wa ukuaji wa uchumi.  Ikiendelea hivyo kwa miongo zaidi China itakuwa na uchumi kubwa zaidi.  Kila mwaka uchumi wao inaongezeka kwa asilimia kubwa.  Lakini imeanza kulegea.
      3. Ukubwa kwa kila mtu ndani ya Uchumi (GDP per capital) – kuna nchi ndogondogo ambayo zinagawa utajiri zao kubwa baina watu wasio wengi kwa hivyo nchi hizo zinatokeza juu ya orodha.  Nchi ni Lichinstaini, Katari, na Manaco.  Pia nchi za kiarabu zinafanya vizuri hapa kutokana na petroli zao.

      Siku moja nchi za Afrika zitakuwepo 😁😁😁

      Angalia kidogo
      • 1
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp
      • 1
      • MamaYako

        MamaYako

        • Sio mama mboga
        • 4 Maswali
        • 17 Majibu
        • 2 Majibu Bora
        • 76 Pointi
        Ona Wasifu
        MamaYako Sio mama mboga
        2020-04-25T05:13:31-03:00Alijibu kwa 5:13 mu

        Ghana ilikuwa ya kwanza kwa upande wa GDP per capital mwaka moja kutokana na upataji wao wa oil 🇬🇭

        Ghana ilikuwa ya kwanza kwa upande wa GDP per capital mwaka moja kutokana na upataji wao wa oil 🇬🇭

        Angalia kidogo
        • 0
        • Shiriki
          Shea
          • Picha za
          • Twitter
          • WhatsApp
    2. CarolGK

      CarolGK

      • Napenda lugha
      • 13 Maswali
      • 100 Majibu
      • 8 Majibu Bora
      • 118 Pointi
      Ona Wasifu
      CarolGK Napenda lugha
      2020-06-12T10:23:44-03:00Alijibu 10:23 mu

      Nchi ya Amerika ndiyo inayoongoza kiuchumi lakini nchi ya uchina inaongoza kwa ugawi wa raslimali. Kuna tofauti

      Nchi ya Amerika ndiyo inayoongoza kiuchumi lakini nchi ya uchina inaongoza kwa ugawi wa raslimali. Kuna tofauti

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp
    3. Mkubwa

      Mkubwa

      • Dunia inaisha Mungu atabaki
      • 8 Maswali
      • 15 Majibu
      • 1 Jibu Bora
      • 74 Pointi
      Ona Wasifu
      Mkubwa Dunia inaisha Mungu atabaki
      2020-04-25T19:18:21-03:00Alijibu 7:18 um

      Ni china... Baada ya muda tutaona vile ushawishi wao unazidi kabisa.

      Ni china… Baada ya muda tutaona vile ushawishi wao unazidi kabisa.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 09/01/2021
      • Majibu: 2

      Je, wapwani wana nafasi yao stahili kwenye urais?

      • Tarehe: 27/12/2020
      • Majibu: 2

      Je, ni wanasiasa wa Tanzania wangapi walidai Asylum baada ya ...

      • Tarehe: 22/11/2020
      • Jibu: 1

      Je, unaonaje hali ya uhuru na haki za Watanzania katika ...

      Je, unaonaje hali ya uhuru na haki za wananchi wa Tanzania katika kipindi cha pili cha Rais John nmagufuli? Je, uhuru utaheshimiwa au utazidi kuminywa?

      • Tarehe: 29/07/2020
      • Majibu: 0

      Je, kuna athari gani kwa nchi za Afrika kutokana na ...

      Migogoro isiyokwisha kati ya mataifa makubwa ya China na Marekani imepelekea kutokea kwa mgogoro mkubwa wa kidiplomasia kati ya nchi hizo. Hivi karibuni Marekani ilifunga ubalozi wa China huko Houston, Texas, na China ikalipa kisasi kwa kufunga ubalozi wa Marekani

      • Tarehe: 14/06/2020
      • Majibu: 0

      Je, una maoni gani kuhusu uhusiano kati ya Rais Uhuru ...

      Fafanua madhara ya uhusiano huu na mkondo unaochukua kisiasa

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Jibu: 1

      Je wazo lako ni gani kufuatilia ugonjwa hatari wa Korona?

      Ugonjwa wa Korona ni hatari mno. Kwa miezi tatu iliyopita umeweza kuadhiri dunia yote Sana. Watu wengi wana mawazo tofauti ambayo yanafaa kutekelezwa, kuhusiana na ugonjwa huu. Je unawaza vipi kutokana na ugonjwa huu?

    • Je, ushatimiza ndoto yako ya utotoni?
      • Tarehe: 30/05/2020
      • Jibu: 1

      Je, ushatimiza ndoto yako ya utotoni?

      Kila mtoto huwa na ndoto ambayo angependa kuitimiza atakapokuwa mkubwa. Ni asilimia kidogo sana ambayo hufikia ndoto hizo.  Je, ulikuwa na ndoto gani utotoni wako?  Ushaitimiza?  Iwapo hapana, bado unaona utaitimiza ama la?

      • Tarehe: 25/05/2020
      • Majibu: 2

      Tanzania kuruhusu watalii ni Jambo mzuri?

      Juma iliyopita Rais wa Tanzania John Magufuli alihamrisha raia wa Tanzania waendelee na shughuli zao za kawaida. Mojawapo wa Jambo alizosema zitaendelea ni kutembelea kwa watalii nchini. Leo Watalii wameanza kuwasili nchini Tanzania. Je hili ni Jambo la busara?

      • Tarehe: 23/05/2020
      • Majibu: 2

      Hatua ya Nchi mingi duniani kuamua kuendelea na shughuli zao ...

      Ugonjwa wa Korona uliadhiri shughuli duniani kote. Nchi mingi zilizoadhirika zililazimika kusimamishwa shughuli zao za kawaida. Siku chache zilizopita nchi mingi zimeonekana zikiwasihi raia wake kuendelea na shughuli zao za kawaida ili kuzuia kuzoroteka kwa uchumi? Je, kwa maoni yako

      • Tarehe: 22/05/2020
      • Majibu: 2

      Je kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani inatengemea ...

      Kenya na Tanzania ni nchi jirani ambazo zimeishi kwa miaka mingi bila ugomvi. Juzi kumekuwa na tatizo fulani kuhusu mpaka wa nchi inzi mbili kutokana na ugonjwa hatari wa Korona. Rais wa Kenya aliamurisha kuwa raia wa Tanzania hawataruhusiwa kuingia

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Ziada
      • Kutuhusu
      • Vyeo
      • Tagi
      • Wenzako
      • MUS

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi

    Lugha Saidizi

    • swKiswahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrançais