Nchi tofauti duniani zina vitengo tofauti vya Askari na pia vyombo za kuhakikisha usalama.
Je ni nchi gani henye Askari hodari zaidi na pia vifaa vya vita?
Ni nchi gani inaogoza duniani kwa vita?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Mkubwa
Mbinu wa kuongoza kivita unabadilika sana siku hizi kutokana na utawala ya karne hii. Siku hizi kila mtu anaweza kutazama runinga ndio wajue mambo ya vita ni mabaya sana kama kuua mtu ama kurushia makombora makwao. Haya hii ni endeleo mzuri sana kwa dunia. Sasa mbinu ya kivita ni kupitia uchumi weSoma zaidi
Mbinu wa kuongoza kivita unabadilika sana siku hizi kutokana na utawala ya karne hii. Siku hizi kila mtu anaweza kutazama runinga ndio wajue mambo ya vita ni mabaya sana kama kuua mtu ama kurushia makombora makwao.
Haya hii ni endeleo mzuri sana kwa dunia. Sasa mbinu ya kivita ni kupitia uchumi wenye ushawishi. Labda baadaye itakuwa kupitia harakati haramu ya kompyuta yani hacking.
Jibu la swali lako
Pia inabidi kutaja Urusi ambayo inatumia ujanja kushawishi dunia sana.
Angalia kidogoCarolGK
Naamini nchi zinazoongoza kivita ni israeli na Uingereza lakini ni ngumu kugundua kwani nchi hizi hazina uchokozi
Naamini nchi zinazoongoza kivita ni israeli na Uingereza lakini ni ngumu kugundua kwani nchi hizi hazina uchokozi
Angalia kidogoJoylee
Kilingana na maoni yangu. Naonelea nchi ya Russia ndo walio wakali kivita. Ilhali wakati huu wa karne ya ishirini na moja, nchi zingine ka China na Amerika vimeweza kukuwa kifetha. Hii imefuatia hizi nchi kuzozana na hata kusemekana kwamba kuna silaha vya virusi ambavyo vimeundwa. Mfano kama Korona,Soma zaidi
Kilingana na maoni yangu. Naonelea nchi ya Russia ndo walio wakali kivita. Ilhali wakati huu wa karne ya ishirini na moja, nchi zingine ka China na Amerika vimeweza kukuwa kifetha. Hii imefuatia hizi nchi kuzozana na hata kusemekana kwamba kuna silaha vya virusi ambavyo vimeundwa. Mfano kama Korona, Kunao wanaosema virusi vya Korona ni chombo cha vita katika dunia.
Angalia kidogo