Kufuatia ongezeko ya watu waliougua virusi vyo Korona, mechi nyingi hasa za kandanda ziliweza kusimamishwa. Iwapo janga na Korona litaisha hivi karibuni, ni mechi gani ungependa kutazama?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
CarolGK
Natamani kuona mechi zote za Chelsea kwani nawashabikia sana.
Natamani kuona mechi zote za Chelsea kwani nawashabikia sana.
Angalia kidogoERIC
Mechi ya Bayern Munich na Cheasea no mojawapo wa mechi ambazo natamani kuzitazama. Iwapo ugonjwa wa Korona itaisha leo nleo nataman Sana kuona mechi hiyo.
Mechi ya Bayern Munich na Cheasea no mojawapo wa mechi ambazo natamani kuzitazama. Iwapo ugonjwa wa Korona itaisha leo nleo nataman Sana kuona mechi hiyo.
Angalia kidogo