Rais was Kenya Uhuru Kenyatta aliweza kutangaza kwamba baada ya siku zilizoongezwa za lockdown na kafiu kuisha, serikali itaweza kurejesha biashara kama hapo kitambo. Je, unaona kama hii ni wazo nzuri au la?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
CarolGK
Kitu cha maana ni virusi vya Corona vidhibitiwe kwanza. Ni rahisi kufufua uchumi, lakini si rahisi kurejesha uhai
Kitu cha maana ni virusi vya Corona vidhibitiwe kwanza. Ni rahisi kufufua uchumi, lakini si rahisi kurejesha uhai
Angalia kidogo