Marekani siku ifikapo hakuna maambukizi. Naona usafiri utakuwa unapunguka kwa muda hata baada ya maathari ya moja kwa moja yaani dunia imezoea kutosafiri. Sijui kama maana ya hii ni kuwa bei zitakuwa juu ama chini. Wacha tuone nikaamua hapo mpango wa usafiri.

Pemba - kisiwa kilicho tengwa wakati huo watu wanahofia Korona. Pengine visiwa viko hatarini zaidi. Haya wacha nisiende popote 😅
Pemba – kisiwa kilicho tengwa wakati huo watu wanahofia Korona. Pengine visiwa viko hatarini zaidi. Haya wacha nisiende popote 😅
Angalia kidogoMarekani siku ifikapo hakuna maambukizi. Naona usafiri utakuwa unapunguka kwa muda hata baada ya maathari ya moja kwa moja yaani dunia imezoea kutosafiri. Sijui kama maana ya hii ni kuwa bei zitakuwa juu ama chini. Wacha tuone nikaamua hapo mpango wa usafiri.
Marekani siku ifikapo hakuna maambukizi. Naona usafiri utakuwa unapunguka kwa muda hata baada ya maathari ya moja kwa moja yaani dunia imezoea kutosafiri. Sijui kama maana ya hii ni kuwa bei zitakuwa juu ama chini. Wacha tuone nikaamua hapo mpango wa usafiri.
Angalia kidogoNilikuwa natarajia kusafiri Uchina kuendea bidhaa za bihashara . Naamini siku moja Korona pia litakufa na niweze kuendelea na shughuli za kawaida.
Nilikuwa natarajia kusafiri Uchina kuendea bidhaa za bihashara . Naamini siku moja Korona pia litakufa na niweze kuendelea na shughuli za kawaida.
Angalia kidogoSikuwa nimepanga kwenda kokote 🤣 lakini natamani kwenda nchi za ng'ambo sana.
Sikuwa nimepanga kwenda kokote 🤣 lakini natamani kwenda nchi za ng’ambo sana.
Angalia kidogo