Nashangaa Sana kuona vyombo za habari zikitangaza idadi ya wagonjwa wa Korona waliopona na bado wanasema dawa halijapatikana.
Je wanaopona ugonjwa wa Korona wanapewa dawa gani?
Mbona wagonjwa wote wasipewe Hilo dawa ili waweze kupona?
Ni Kweli bado dawa ya Korona halijapatikana?
Shea
Mzungu
Maradhi hiyo ni virusi. Kuna dawa zifuatazo zilizo zungumzuka sana Chanjo ya kujikinga (vaccine) - bado hakuna. Itapatikana kwa watu wengi mwaka ujao. Matibabu ya kutibu dalili - Hizo zipo lakini utafiti unaendelea ili kugundua zipi nzuri. Tiba ya kuponya haraka - Hakuna tiba ya kutoa virusi kighaflSoma zaidi
Maradhi hiyo ni virusi. Kuna dawa zifuatazo zilizo zungumzuka sana
Kwa hivyo sasa dunia inaendelea nayo ile numba 2. Bado hakuna ukubali juu ya dawa gani inatibu dalili vizuri, lakini dunia yote wanafanya utafiti wao wakitoa hela nyingi kwa hivyo majibu yatafika.
Angalia kidogoCloudy2
Lakini swali lingine ni kama waafrika watapata nafasi ya kuchukua hii dawa... Maanake waafrika watakuwa mwishoni mwa foleni kwa bahati mbaya. Ama ni vipi?
Lakini swali lingine ni kama waafrika watapata nafasi ya kuchukua hii dawa… Maanake waafrika watakuwa mwishoni mwa foleni kwa bahati mbaya. Ama ni vipi?
Angalia kidogoLuyela
Mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa kutibu Corona, ivyo basi tunashauri kufata taratibu za kujikinga kama inavyoelezwa na vyombo vinavyoshugulika na mambo ya afya.
Mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa kutibu Corona, ivyo basi tunashauri kufata taratibu za kujikinga kama inavyoelezwa na vyombo vinavyoshugulika na mambo ya afya.
Angalia kidogoJoylee
waziri wa afya nchini kenya alitoa habari chanjo ya kuzuia Corona itazibduliwa baada ya miezi kumi na nane.
waziri wa afya nchini kenya alitoa habari chanjo ya kuzuia Corona itazibduliwa baada ya miezi kumi na nane.
Angalia kidogo