Tukiwa shule ya upili, kila mmoja aliweza kusoma vitabi kadha vya tamthilia. Ni kitabu ulipendelea sana kusoma ukiwa katika shule ya upili? Mbona ulikipenda kitabu hicho?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
CarolGK
Mimi niliipenda sana tamthilia inayoitwa Kifo Kisimani iliyoandikwa na Profesa Kithaka wa Mberia.
Mimi niliipenda sana tamthilia inayoitwa Kifo Kisimani iliyoandikwa na Profesa Kithaka wa Mberia.
Angalia kidogoLuyela
Nakumbuka nilivyo kuwa kidato cha pili, nilisoma tamthilia inaitwa Joka la mdimu. Ni tamthilia iliyokua inaelezea maisha ya viongozi jinsi wanavyo kula rushwa na kutumia ofisi za umma kwa manufaa yao yenyewe. Hakika hiki kitabu kilinifundisha mengi.

Angalia kidogoERIC
Nilipenda tamthilia ya Mstahiki Meya iliyoandikwa na Timothy M. Arrge. Tamthilia ya Mstahiki Meya ilionyesha jinsi Uongozi mbaya unaweza adhiri nchi ya Cheneo. Meya aliyekuwa kiongozi aliongoza Cheneo kwa njia isiyofaa na kueneza ufisadi si haba. Nilipenda tamthilia hii kwani iliweza kuonyesha jinsiSoma zaidi
Nilipenda tamthilia ya Mstahiki Meya iliyoandikwa na Timothy M. Arrge. Tamthilia ya Mstahiki Meya ilionyesha jinsi Uongozi mbaya unaweza adhiri nchi ya Cheneo. Meya aliyekuwa kiongozi aliongoza Cheneo kwa njia isiyofaa na kueneza ufisadi si haba.
Nilipenda tamthilia hii kwani iliweza kuonyesha jinsi Marehemu Rais Daniel Moi alivyoongoza nchi ya Kenya na pia Rais wa nchi zingine za Afrika zinazoongozwa na uogozi wa kiimla.
Angalia kidogo