Wakati huu dunia zima imeadhirika sana ugonjwa wa Korona watu wengi wameachishwa kazi.
Watu wako ndani ya nyumba zao na bado wana mahitaji si haba.
Kuna kazi kocho kocho ambazo zinaezafanywa kwenye mitandao.
Je ni kazi gani mtu anaweza kufanya kwenye mitandao?
Ni kazi gani unayoweza kufanya kwenye mtandao ikuletee hela?
Shea
Cloudy2
Siku hizi watu wana haja ya kufundisha AI. Hii ni kazi kinachoweza kutokea popote.
Siku hizi watu wana haja ya kufundisha AI. Hii ni kazi kinachoweza kutokea popote.
Angalia kidogoCarolGK
Kazi ni nyingi sana ambazo unaweza kufanya mitandaoni na upate pesa. Baadhi ya Kazi zenyewe ni: 1) Uandishi wa kitaaluma 2) Kublogi 3) Biashara ya forex na 4)Kuanza kituo chako cha YouTube.
Kazi ni nyingi sana ambazo unaweza kufanya mitandaoni na upate pesa. Baadhi ya Kazi zenyewe ni:
1) Uandishi wa kitaaluma
2) Kublogi
3) Biashara ya forex
na
4)Kuanza kituo chako cha YouTube.