Wakenya wengi walitarajia kwamba, ule muda uliowekwa na serikali ya siku ishirini na moja ya kafiu zikiweza kuisha, kafiu itaondelewa rasmi. Hii ni ndoto kwa wengi sasa ivi kwakuwa serikali ilionelea kuongeza muda wa kafiu na siku zingine ishirini na moja. Je, ni hatua bora hii au la?
Shea
CarolGK
Ndio ni hatua njema kabisa. Kafiu ilipoanza maambukizi yalikuwa madogo. Kwa hivyo ni kinaya sana kutarajia saa hii ambapo maambukizi yameongezeka kwa kiwango cha juu sana kuwa kafiu itaondolewa. Kwani umuhimu wa kafiu ni nini kama si hiyo kuzuia maambukizi kuongezeka?

Angalia kidogoERIC
Ni hatua Bora. Kwa kweli wakati huu Korona inazidi kuenea Kenya. Ili kuzuia ugonjwa huu kuenea Sana kafiu inafaa kuendelea Hadi siku ambayo Korona itaisha. Asante Sana.
Ni hatua Bora.
Kwa kweli wakati huu Korona inazidi kuenea Kenya. Ili kuzuia ugonjwa huu kuenea Sana kafiu inafaa kuendelea Hadi siku ambayo Korona itaisha.
Asante Sana.
Angalia kidogoCloudy2
Nauliza swali kwa swali - nchi zingime za Afrika mashariki zimefanya nini hapo? Hao pia zilirefisha muda wa kafyu? Jibu linategemea zile zinazotokea nchi zingine.
Nauliza swali kwa swali – nchi zingime za Afrika mashariki zimefanya nini hapo? Hao pia zilirefisha muda wa kafyu? Jibu linategemea zile zinazotokea nchi zingine.
Angalia kidogo