Bihashara ni uti wa mgongo wa nchi mingi barani Afrika. Unaweza tekeleza bihashara tofauti lakini ni ndoto ya kila mwana bihashara kufanya bihashara yenye faida zaidi.
Kwa maoni yako ni bihashara gani ambalo linafaa zaidi kote Afrika?
Ni biashara gani Bora Sana Afrika?
Shea
Biashara inayofaa Afrika sana ni kilimo na ukuzaji wa vyakula. Hii ni sababu mashamba yetu yako sawa kabisa kwa ukuzaji wa chakula. Zaidi, lazima kila siku binadamu ale na anunue chakula.
Biashara inayofaa Afrika sana ni kilimo na ukuzaji wa vyakula. Hii ni sababu mashamba yetu yako sawa kabisa kwa ukuzaji wa chakula. Zaidi, lazima kila siku binadamu ale na anunue chakula.
Angalia kidogoBiashara inayofaa waafrika ni wa ufalme na utawala na umilki. Siku waafrika wanajitawala vizuri ndio siku waafrika watafanya kazi yao inayopaswa kwa muda mrefu.
Biashara inayofaa waafrika ni wa ufalme na utawala na umilki. Siku waafrika wanajitawala vizuri ndio siku waafrika watafanya kazi yao inayopaswa kwa muda mrefu.
Angalia kidogo