Haswa wakati huu wa corona, nitakuambia biashara ambazo utazianza na lazima zitavuma na zikuletee faida. Hizi ni kama vile: 1) Kutengeneza barakoa na kuziuza. 2) Kutengeneza sabuni na kuiuza. Hii ni kama sabuni ya maji na pia ile ya kipande. 3) Kuuza bidhaa mitandaoni. 4) Kuuza maoni ya YouTube. 5)Soma zaidi
Haswa wakati huu wa corona, nitakuambia biashara ambazo utazianza na lazima zitavuma na zikuletee faida. Hizi ni kama vile:
1) Kutengeneza barakoa na kuziuza.
2) Kutengeneza sabuni na kuiuza. Hii ni kama sabuni ya maji na pia ile ya kipande.
3) Kuuza bidhaa mitandaoni.
4) Kuuza maoni ya YouTube.
5) Kununua na kuuza hisa.
Ni hayo tu kwa sasa. Ukiyazingatia utafaidika. Asante.
Mimi ni mwanabihashara na huwa na wasihi watu wanataka kujiunga na bihashara kufanya bihashara inayohusisha mambo wanaopenda kuyafanya kila siku. Tafuta jinsi unaweza kutengeneza pesa kwa kufanya mambo unayopenda kufanya kila siku.

1. Biashara ya kimtandao. Unaweza nunua na kuuza bidha kupitia mtandao. 2. Unaweza pia kuwa mwandishi wa aina mbali mbali ya vitabu. Uandishi wa vitabu na pia kwenye mtandao kupitia kufanya utafiti. Hivi unaweza kupata mapato bora ukiwa kwako nyumbani na jamii yako.
1. Biashara ya kimtandao. Unaweza nunua na kuuza bidha kupitia mtandao.
2. Unaweza pia kuwa mwandishi wa aina mbali mbali ya vitabu. Uandishi wa vitabu na pia kwenye mtandao kupitia kufanya utafiti. Hivi unaweza kupata mapato bora ukiwa kwako nyumbani na jamii yako.
CarolGK
Haswa wakati huu wa corona, nitakuambia biashara ambazo utazianza na lazima zitavuma na zikuletee faida. Hizi ni kama vile: 1) Kutengeneza barakoa na kuziuza. 2) Kutengeneza sabuni na kuiuza. Hii ni kama sabuni ya maji na pia ile ya kipande. 3) Kuuza bidhaa mitandaoni. 4) Kuuza maoni ya YouTube. 5)Soma zaidi
Haswa wakati huu wa corona, nitakuambia biashara ambazo utazianza na lazima zitavuma na zikuletee faida. Hizi ni kama vile:
1) Kutengeneza barakoa na kuziuza.
2) Kutengeneza sabuni na kuiuza. Hii ni kama sabuni ya maji na pia ile ya kipande.
3) Kuuza bidhaa mitandaoni.
4) Kuuza maoni ya YouTube.
5) Kununua na kuuza hisa.
Ni hayo tu kwa sasa. Ukiyazingatia utafaidika. Asante.
Angalia kidogoERIC
Mimi ni mwanabihashara na huwa na wasihi watu wanataka kujiunga na bihashara kufanya bihashara inayohusisha mambo wanaopenda kuyafanya kila siku. Tafuta jinsi unaweza kutengeneza pesa kwa kufanya mambo unayopenda kufanya kila siku.
Mimi ni mwanabihashara na huwa na wasihi watu wanataka kujiunga na bihashara kufanya bihashara inayohusisha mambo wanaopenda kuyafanya kila siku. Tafuta jinsi unaweza kutengeneza pesa kwa kufanya mambo unayopenda kufanya kila siku.
Angalia kidogoJoylee
1. Biashara ya kimtandao. Unaweza nunua na kuuza bidha kupitia mtandao. 2. Unaweza pia kuwa mwandishi wa aina mbali mbali ya vitabu. Uandishi wa vitabu na pia kwenye mtandao kupitia kufanya utafiti. Hivi unaweza kupata mapato bora ukiwa kwako nyumbani na jamii yako.
1. Biashara ya kimtandao. Unaweza nunua na kuuza bidha kupitia mtandao.
Angalia kidogo2. Unaweza pia kuwa mwandishi wa aina mbali mbali ya vitabu. Uandishi wa vitabu na pia kwenye mtandao kupitia kufanya utafiti. Hivi unaweza kupata mapato bora ukiwa kwako nyumbani na jamii yako.