Leo tunakaribia mwezi wa aprili na mimi najiuliza nchi gani itafanikiwa zaidi kupambana na Corona? Leo nilisikia Rwanda chakula kitapelekewa wananchi wao. Tanzania ilianza mapema kutoa marafuku. Nchi zingine ikoje?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
ERIC
Hakuna nchi yeyote Latina Africa mashariki ambalo Lina uwezo wa kupambana na ugonjwa wa Korona. Nchi site za Afrika Mashariki bado hazijaimarika kiuchumi na kwa hivyo haziwezi pambana na janga la Korona bila usaidizi.

Angalia kidogoCarolGK
Nadhani nchi zitakazo ibuka mshindi kwa kupambana na virusi vya Corona Afrika mashariki ni Uganda na Rwanda. Hii ni sababu ya vikwazo vikali walivyoweka kuzuia maambukizi ya Corona. Pia wamesaidia wananchi wao kupata chakula na bidhaa zingine muhimu, wakati huu mgumu.