aliuliza 2020-03-31T08:03:19-03:002020-03-31T08:03:19-03:00kwa Kenya
Nchi gani kati ya Kenya na Tanzania itaibuka mshindi kwa upande wa uchumi kwenye miaka ya mbele?
Matokeo ya Kura
Tafadhali ingia kupiga kura na uone matokeo.
Shiriki kwenye kura ya maoni, Chagua Jibu lako.
Sasa watu wanajua Kenya iko mbele si ndio. Hata watanzania wanasema Nairobi ndio kama imeingia majuu.
Lakini hali inaweza kubadilika. Sanasana katika huu muda ambao Magafuli anashindana na wenzake vikali.
mfano ni ujanja wake wa kujipatia hiyo mkataba wa kuunganisha Rwanda SGR badala ya Kenya. Mambo kama haya, pamoja na vita yake dhidi ya ufisadi, yanaweza kubadilisha uhusiano kati Kenya na Tanzania. Maoni yako?
Tanzania. Kenya ina shida ya ukabila. Mpaka sasa Kenya imefanya vizuri ndio wapate nafasi nyingi ya kiuchumi lakini siku hizi miradi wao wa kiuchumi inazorota. Wacha tuone - baada ya miaka 10 Tanzania itapiku Kenya.
Tanzania. Kenya ina shida ya ukabila. Mpaka sasa Kenya imefanya vizuri ndio wapate nafasi nyingi ya kiuchumi lakini siku hizi miradi wao wa kiuchumi inazorota. Wacha tuone – baada ya miaka 10 Tanzania itapiku Kenya.
Wakenya wana ujanja... Unakumbuka ile siku airport yao ilichoma? Wiki baadaye washajenga airport ingine. Sasa uchumi haufanyi vizuri lakini iwapo njia wakenya wataipata.
Wakenya wana ujanja… Unakumbuka ile siku airport yao ilichoma? Wiki baadaye washajenga airport ingine. Sasa uchumi haufanyi vizuri lakini iwapo njia wakenya wataipata.
Tanzania. Kenya ina shida ya ukabila. Mpaka sasa Kenya imefanya vizuri ndio wapate nafasi nyingi ya kiuchumi lakini siku hizi miradi wao wa kiuchumi inazorota. Wacha tuone - baada ya miaka 10 Tanzania itapiku Kenya.
Tanzania. Kenya ina shida ya ukabila. Mpaka sasa Kenya imefanya vizuri ndio wapate nafasi nyingi ya kiuchumi lakini siku hizi miradi wao wa kiuchumi inazorota. Wacha tuone – baada ya miaka 10 Tanzania itapiku Kenya.
Angalia kidogoWakenya wana ujanja... Unakumbuka ile siku airport yao ilichoma? Wiki baadaye washajenga airport ingine. Sasa uchumi haufanyi vizuri lakini iwapo njia wakenya wataipata.
Wakenya wana ujanja… Unakumbuka ile siku airport yao ilichoma? Wiki baadaye washajenga airport ingine. Sasa uchumi haufanyi vizuri lakini iwapo njia wakenya wataipata.
Angalia kidogo