Nchi mingi zimekuwa zikitoa amri ili raia wake wakae kwa nyumba ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Korona. Kuna nchi masikini ambazo haziwezi wapa raia wake chakula wakijifungia kwa nyumba. Nchi hizi zinafaa kufanya nini kupuguza kuenea kwa ugonjwa huu?
Shea
Kuna uwezo lakini hakuna nia. Nchi zenye umaskini zina faida ya kwamba watu wao ni wachanga sana. Labda hiyo itapunguza uzito wa Korona. Tuendelee na hatua zinazofaa lakini tusiache matumaini.
Kuna uwezo lakini hakuna nia. Nchi zenye umaskini zina faida ya kwamba watu wao ni wachanga sana. Labda hiyo itapunguza uzito wa Korona. Tuendelee na hatua zinazofaa lakini tusiache matumaini.
Angalia kidogoMatumaini hayatatuokoa bwana
Matumaini hayatatuokoa bwana
Angalia kidogoNi vyema kuzuia watalii na wananchi wanaosafiri kutoka nchi zilizo athirika na kuwasili katika nchi hizo. Wazuie wageni kuingia nchini hasa wale waliotoka kwenye nchi zilizoathirika na Corona.
Ni vyema kuzuia watalii na wananchi wanaosafiri kutoka nchi zilizo athirika na kuwasili katika nchi hizo. Wazuie wageni kuingia nchini hasa wale waliotoka kwenye nchi zilizoathirika na Corona.
Angalia kidogo