Katika miaka ya mwanzoni wa mwaka 2000 hadi kufika mwaka 2006 kulitokea viumbe wawili mafundi sana wa mpira, nao ni Ronaldinho Gaucho na Zinedine Zidane. Je kwa mtazamo wako, nani alikua mkali zaidi ya mwingine?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006. Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma? Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana. Kwa maoni ySoma zaidi
Ronaldinho na Zinedine walikuwa wachezaji wakali Sana kwa kipindi cha miaka sita 2000-2006.
Shabiki wote wa soka walibishana Sana kuhusu wachezaji hawa wawili. Nani kweli alikuwa mnoma?
Mashujaa hawa walikuwa hodari Sana kwa kucheza soka, wote walikuwa Bora na mchezo wao ulipendeza Sana.
Kwa maoni yangu Zinedine alikuwa hodari lakini Ronaldinho alikuwa hodari zaidi.
Asante Sana.
Angalia kidogoNaonelea Zinedine Zidane ndiye mchezaji wa kandanda alibobea sana wakati huo. Mchezaji huyu alichkua tuzo zaidi katika kandanda na kupata umaarufu duniani. Huu ndio mtazamo wangu ila mi sio shabiki sugu wa kandanda.
Naonelea Zinedine Zidane ndiye mchezaji wa kandanda alibobea sana wakati huo. Mchezaji huyu alichkua tuzo zaidi katika kandanda na kupata umaarufu duniani. Huu ndio mtazamo wangu ila mi sio shabiki sugu wa kandanda.
Angalia kidogo❤️ Ronaldhino Gauchane ❤️
❤️ Ronaldhino Gauchane ❤️
Angalia kidogoMimi nitakwenda na Ronaldhino kwani huyo Zinedine hata simjui.
Mimi nitakwenda na Ronaldhino kwani huyo Zinedine hata simjui.
Angalia kidogo