Kati ya Diamond, Kaligraph Jones, na Willy Paul, ni mwana muziki yupi aliye pata umaarufu zaidi nchini Kenya, Uganda na Tanzania?
Toa jibu lako likiambatana na sababu.
Mwana muziki yupi aliye na umaarufu zaidi?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
CarolGK
Nadhani Diamond ndo amepata umaarufu zaidi sio Afrika mashariki pekee lakini Afrika mzima kwa ujumla. Japo simpendi, ukweli usemwe. Majuzi tu amesemekana kuwa mwafrika wa kwanza Afrika mashiriki kupata wafuasi billioni kwa YouTube. Kaligraph hujaribu sana kuwa mzungu ilihali Willy Paul naye hujaribuSoma zaidi
Nadhani Diamond ndo amepata umaarufu zaidi sio Afrika mashariki pekee lakini Afrika mzima kwa ujumla. Japo simpendi, ukweli usemwe. Majuzi tu amesemekana kuwa mwafrika wa kwanza Afrika mashiriki kupata wafuasi billioni kwa YouTube.
Kaligraph hujaribu sana kuwa mzungu ilihali Willy Paul naye hujaribu sana kumuiga Diamond.
Angalia kidogoERIC
Khaligraph- Huwa anaimba nyimbo za lugha ya kiingereza na Kiswahili. Kwa hili Raia wa nchi hizi tatu wanaeza elewa nyimbo zake.
Khaligraph- Huwa anaimba nyimbo za lugha ya kiingereza na Kiswahili. Kwa hili Raia wa nchi hizi tatu wanaeza elewa nyimbo zake.
Angalia kidogoMkubwa
Kweli ana ngoma poa hata anatumia luo kwa hivyo amemasta sauti ya kuchanganya lugha lakini ni kama hana dhamira ila tu akisikike vizuri haya wacha niseme anafanya vizuri lakini bado naona ana zaidi ya kusafiri mpaka awe kibao

Sio khaligraph 😅
Sio khaligraph 😅
Angalia kidogo