Shule katika bara la Afrika zimefugwa kutokana na ugonjwa wa Korona.
Kuna njia imbuka za kusomesha wanafunzi kutoka nyumbani kupitia vyombo za habari na mitandao ya kisasa.
Kwa kawaida sehemu mingi Afrika zinakubwa na umasikini si haba.
Asilimia kubwa ni wasioweza kupata vyombo msingi za kuwawezesha kupata masomo haya.
Je, masomo haya yanasaidia kweli?
Masomo ya nyumbani yanafaa?
Shea
Afadhali vyombo vya habari ama redio ama mitandao kuliko bila si ndio? Naona kujifunza kwingi kinatokea kwa kutumia mbinu ulizotaja... Lakini kwa upande wa kijamii watoto wanazorota ubongo 😅
Afadhali vyombo vya habari ama redio ama mitandao kuliko bila si ndio? Naona kujifunza kwingi kinatokea kwa kutumia mbinu ulizotaja… Lakini kwa upande wa kijamii watoto wanazorota ubongo 😅
Angalia kidogoMasomo ya nyumbani ni bora sana iwapo kila mwananchi ataweza kuifikia kwa urahisi. Lakini swali ambalo kila mmoja anafaa kujibu hasa waziri mkuu wa elemu ni iwapo kila mwanafuzi nchini Kenya wanavyombo kwa kuwawezesha kutumia tuvuti katika masomo. Ila sehemu nyingi bado wakenya wamekumbwa na umaskinSoma zaidi
Masomo ya nyumbani ni bora sana iwapo kila mwananchi ataweza kuifikia kwa urahisi. Lakini swali ambalo kila mmoja anafaa kujibu hasa waziri mkuu wa elemu ni iwapo kila mwanafuzi nchini Kenya wanavyombo kwa kuwawezesha kutumia tuvuti katika masomo. Ila sehemu nyingi bado wakenya wamekumbwa na umaskini inakua ngumu kuweza kununua vyombo hivi vya kutumia na inteneti. Serikali ikisaidia wananchi wapate vyombo hivi bure, basi mfumo huo wa kusomea kupitia tuvuti itakua ya manufaa zaidi kwa wizara ya elimu nchini Kenya.
Angalia kidogoInafaa waafrika waache kulia lia kila wakati na waanze kukumbatia njia mpya za kufanya mambo. Kwa mfano, kusoma kupitia mitandao. Tusipofanya hivyo tutakuwa nyuma kwa maendeleo daima.
Inafaa waafrika waache kulia lia kila wakati na waanze kukumbatia njia mpya za kufanya mambo. Kwa mfano, kusoma kupitia mitandao. Tusipofanya hivyo tutakuwa nyuma kwa maendeleo daima.
Angalia kidogo