Hivi majuzi kumekuwa na visa vingi vya watu kupatina na bibi ai bwana ya watu. Je, ni baadhi ya mambo yapi ambayo unaolea inaweza changia mtu kuwa na mpango wa kando?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
ERIC
Ndoa zimekuwa na changamoto mingi sana. Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka ila wenye hawajaoa wanatamani kugunga ndoa. Mojawapo wa changamoto hizi ni wapezi kutoaminiana na pia kusaliti ndo kwa kwenda nje ya ndoa. Tendo hili linaweza Sababishwa na sababu zifuatazo; 1. Mpezi kutotosheleza mpeziye kiSoma zaidi
Ndoa zimekuwa na changamoto mingi sana. Walio kwenye ndoa wanatamani kutoka ila wenye hawajaoa wanatamani kugunga ndoa.
Mojawapo wa changamoto hizi ni wapezi kutoaminiana na pia kusaliti ndo kwa kwenda nje ya ndoa.
Tendo hili linaweza Sababishwa na sababu zifuatazo;
1. Mpezi kutotosheleza mpeziye kingono- kama mpezi amtoshelezi mweziye kingono, mweziye anaweza tafuta atakaye mtosheleza.
2. Wapezi kutoheshimiana- Iwapo mmeoana na hamheshimiani inawezekana mmoja wenyu atoke nje ya ndoa atakapoheshimiwa.
3. Tabia mpezio kuanya- iwapo mpezio ni mhanyaji unaweza amua kuanya pia ili kulipisha.
4. Hali ya umasikini- kama mmekubwa na umasikini unaweza shirikiana na mtu atakaye kupea pesa.
5. Ulevi- walevi chakari ni nadra kupata wakati wa mapezi na pia unaweza jipata umeshiriki mapenzi nje ya ndoa kutokana na ulevi wako.
CarolGK
Tamaa tu ndo inayofanya watu kutoka nje ya ndoa zao na hasa wanaume na kutomjali mpenzi wako. Baadhi ya wanawake nao hutoka nje ya ndoa kulipiza kisasi na kwa ajili ya kusikia wametengana kihisia na mumewe.
Tamaa tu ndo inayofanya watu kutoka nje ya ndoa zao na hasa wanaume na kutomjali mpenzi wako. Baadhi ya wanawake nao hutoka nje ya ndoa kulipiza kisasi na kwa ajili ya kusikia wametengana kihisia na mumewe.
Angalia kidogoLuyela
Ni tamaa tu na kuto mthamini mpenzi wako, hakuna kingine.
Ni tamaa tu na kuto mthamini mpenzi wako, hakuna kingine.
Angalia kidogoCloudy2
Sisi ni wanyama kwa asili zetu. Kila mtu ana nia ya kingono. Mambo haya yatakuwepo daima lakini tofauti kubwa kati waliodanganya na waliobaki ni uhusiano wa kihisia. Hakuna mtu ambaye anaweza kutosheka kupitia mahitaji ya mwili. Tuangazie mahitaji ya hisia. Hiyo ndio asili ya uhusiano mzuri. KSoma zaidi
Sisi ni wanyama kwa asili zetu. Kila mtu ana nia ya kingono. Mambo haya yatakuwepo daima lakini tofauti kubwa kati waliodanganya na waliobaki ni uhusiano wa kihisia. Hakuna mtu ambaye anaweza kutosheka kupitia mahitaji ya mwili. Tuangazie mahitaji ya hisia. Hiyo ndio asili ya uhusiano mzuri. Kwa hivyo haya ni jibu kwa swali lako:
Inayosababisha watu wawe na mahusiano nje ya ndoa ni muda mrefu wa kutengana kihisia kati watu wawili. Kuna sababu zingine lakini naona ni hiyo hasa kwa visa vyingi.
Angalia kidogoUpendo
Kutojali utu wa mtu mwengine
Kutojali utu wa mtu mwengine
Angalia kidogo