Kweli virusi vya Korona vilitengenezwa?

Virusi vya Korona huwa zinasababisha ugonjwa wa Korona. Kuna njia mingi ambazo virusi hivi vinaweza sambazwa.
Kuna fununu kuwa virusi hivi vinaweza kuwa zilitengenezewa kwenye labu.
Je virusi hivi vilitengenezwa? Iwapo zilitengenezewa ni Marekani au China?

  1. Kubaini iwapo virusi vya Korona viliweza kutengenzwa ni jambo ngumu sana. Kumekuwa na ripoti nyingi za ukweli na hata uongo katika kuelezea chanzo na virusi hivi vya Korona. Kwa maoni yangu ugonjwa huu ulichipuka China japo wameweza kukabiliana na virusi hivi ipasavyo.

    • 0
  2. Ukweli ni kitu kigumu.  Tunayojua ni kwamba: virusi ipo tu.  Kuna porojo nyingi ya serikali mbalimbali duniani ambazo zinataka kushawishi watu.  Hiyo ndio sababu ni ngumu sana kujua ukweli juu haya yote.  Naona inawezekana lakini hakuna hakika.

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali