Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Jitambulisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
JitambulishaJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Vyeo
    • Vyeo
    • Matuzo
    • Watumiaji Wengine
  • Kutuhusu
    • Kutuhusu
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Profile menu

  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Ufuasi
    • Maswali Unayofuata
    • Watu Unaofuata
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 07/11/2022 saa 11:39 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 06/11/2022 saa 12:38 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 02/08/2022 saa 3:01 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 03/07/2022 saa 3:35 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 01/04/2022 saa 6:17 mu
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
    • Wasifu
    • Faragha
    • Barua Pepe
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 6795
Inashughulikiwa
MamaYako
MamaYakoAdmin
aliuliza 31/03/20202020-03-31T22:53:08-03:00 2020-03-31T22:53:08-03:00kwa Afya

Kweli mwanzoni Burundi ililindwa corona na neema ya mungu?

Sasa inaonekana hata Burundi iko na visa vya maambukizi ya corona. Ndio walikuwa wanasema labda neema ya mungu ililinda nchi yake. Hongera kwake kwa kuepusha corona mpaka sasa. Nchi ya burundi iko kwa hali maskini zaidi ya nchi zingine East Africa basi wako na siku zaidi ya kujitayarisha janga hili. Naomba neema zaidi mungu!

Linki hii ndio habari kutoka Burundi:

Kweli mwanzoni Burundi ililindwa corona na neema ya mungu?
burundijangakoronamunguneema
  • 1
  • 2
  • 0
Jibu
Shea
  • Facebook

    2 Majibu

    • Kura
    • Mapya
    • Zamani
    1. CarolGK Napenda lugha
      2020-08-07T11:40:45-03:00Alijibu tarehe 07/08/2020 saa 11:40 mu

      Nchi nyingi Afrika kama vile Burundi na Tanzania ugonjwa wa Covid unaenea lakini serikali zao zimeamua kuzificha habari hizo. Tumeshuhudia miezi michache iliyopita vifo vya kutatanisha vya wakuu wa serikali za Burundi na Tanzania ambavyo hatuwezi dhibitisha kama kweli ni vya Corona au la, kwani seriSoma zaidi

      Nchi nyingi Afrika kama vile Burundi na Tanzania ugonjwa wa Covid unaenea lakini serikali zao zimeamua kuzificha habari hizo.

      Tumeshuhudia miezi michache iliyopita vifo vya kutatanisha vya wakuu wa serikali za Burundi na Tanzania ambavyo hatuwezi dhibitisha kama kweli ni vya Corona au la, kwani serikali zao zimekanusha.

      Hata hivyo ugonjwa huu ni neema ya Mungu tu inayotulinda Afrika nzima kwani ni swala zito sana kwa Afrika kwa ujumla.

      Angalia kidogo
      • 1
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp
    2. Nilote4life Naamini kwa uwezo wa utu
      2020-04-05T06:12:25-03:00Alijibu tarehe 05/04/2020 saa 6:12 mu

      Africa yote ina neema ya Mungu.

      Africa yote ina neema ya Mungu.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

    • Rwanda itapelekea chakula raia zao kweli?
      • Tarehe: 02/04/2020
      • Majibu: 3

      Rwanda itapelekea chakula raia zao kweli?

    • Kanisa ina jukumu gani wakati huo gumu wa kutokea janga la Corona?
      • Tarehe: 02/04/2020
      • Majibu: 2

      Kanisa ina jukumu gani wakati huo gumu wa kutokea janga ...

    • Wakati gani maisha yatarudia kawaida kutokana na virusi ya Corona? Wiki, miezi ama hata miaka?
      • Tarehe: 30/03/2020
      • Majibu: 3

      Wakati gani maisha yatarudia kawaida kutokana na virusi ya Corona? ...

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 07/06/2021
      • Jibu: 1

      TB Joshua alitabiri kifo chake? Alitabiri mengi huyo muhubiri mkristo ...

      • Tarehe: 27/12/2020
      • Majibu: 2

      Je, ni wanasiasa wa Tanzania wangapi walidai Asylum baada ya ...

      • Tarehe: 30/04/2020
      • Majibu: 3

      Unasemaje "habari yako" kwa kifaransa?

    • Kanisa ina jukumu gani wakati huo gumu wa kutokea janga la Corona?
      • Tarehe: 02/04/2020
      • Majibu: 2

      Kanisa ina jukumu gani wakati huo gumu wa kutokea janga ...

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Vyeo
      • Vyeo
      • Matuzo
      • Watumiaji Wengine
    • Kutuhusu
      • Kutuhusu
      • MUS (maswali ulizwa sana)

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi
    • swSwahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrancais