Kuzuiwa kutembea huru nchini ilifaa zaidi. Ukiangalia sasa hivi maambukizi na vifo vya Corona vimekuwa vingi zaidi vile watu wamekubaliwa tena kutembea huru. Wakati kulikuwa na vizuizi vya kutembea, maambukizi ya Corona na ata vifo havikuwa vingi sana kama sasa hivi.
Kuzuiwa kutembea huru nchini ilifaa zaidi. Ukiangalia sasa hivi maambukizi na vifo vya Corona vimekuwa vingi zaidi vile watu wamekubaliwa tena kutembea huru.
Wakati kulikuwa na vizuizi vya kutembea, maambukizi ya Corona na ata vifo havikuwa vingi sana kama sasa hivi.
1. Ni wazi jinsi virusi vya Corona vimeathiri nchi zingine kama vile China na Amerika. Hivyo ni vyema serikali kuihalalisha kuzuiwa kwa wananchi kutembea huru nchini. 2. Hii inaweza kuwa njia mojawapo bora ya kuzuia Corona. Watu wanapo katazwa kutokea makwao hii inaweza kupunguza kusambaa kwa virusiSoma zaidi
1. Ni wazi jinsi virusi vya Corona vimeathiri nchi zingine kama vile China na Amerika. Hivyo ni vyema serikali kuihalalisha kuzuiwa kwa wananchi kutembea huru nchini.
2. Hii inaweza kuwa njia mojawapo bora ya kuzuia Corona. Watu wanapo katazwa kutokea makwao hii inaweza kupunguza kusambaa kwa virusi vya Corona.
China ina uwezo wa kufanya haya yote. Sioni suluhisho hiyo inafaa Afrika. Labda uko na haki. Tofauti kubwa ni vile waafrika wengi wanategemea kazi wao wa kila siku za jua kali.

Itasaidia - lakini swali muhimu ni kwa gharama gani tunataka kupunguza ukasi wa virusi. Bado sina hakika zote hizo zinafaa kabisa. Lakini bora tuwe na umakini kukabili janga la dharura kama hili. Inabidi tukumbuke wale wanaoweza kukwama na njaa.
Itasaidia – lakini swali muhimu ni kwa gharama gani tunataka kupunguza ukasi wa virusi. Bado sina hakika zote hizo zinafaa kabisa. Lakini bora tuwe na umakini kukabili janga la dharura kama hili. Inabidi tukumbuke wale wanaoweza kukwama na njaa.
Kuzuiwa kutembea huru nchini ilifaa zaidi. Ukiangalia sasa hivi maambukizi na vifo vya Corona vimekuwa vingi zaidi vile watu wamekubaliwa tena kutembea huru. Wakati kulikuwa na vizuizi vya kutembea, maambukizi ya Corona na ata vifo havikuwa vingi sana kama sasa hivi.
Kuzuiwa kutembea huru nchini ilifaa zaidi. Ukiangalia sasa hivi maambukizi na vifo vya Corona vimekuwa vingi zaidi vile watu wamekubaliwa tena kutembea huru.
Wakati kulikuwa na vizuizi vya kutembea, maambukizi ya Corona na ata vifo havikuwa vingi sana kama sasa hivi.
Angalia kidogo1. Ni wazi jinsi virusi vya Corona vimeathiri nchi zingine kama vile China na Amerika. Hivyo ni vyema serikali kuihalalisha kuzuiwa kwa wananchi kutembea huru nchini. 2. Hii inaweza kuwa njia mojawapo bora ya kuzuia Corona. Watu wanapo katazwa kutokea makwao hii inaweza kupunguza kusambaa kwa virusiSoma zaidi
1. Ni wazi jinsi virusi vya Corona vimeathiri nchi zingine kama vile China na Amerika. Hivyo ni vyema serikali kuihalalisha kuzuiwa kwa wananchi kutembea huru nchini.
2. Hii inaweza kuwa njia mojawapo bora ya kuzuia Corona. Watu wanapo katazwa kutokea makwao hii inaweza kupunguza kusambaa kwa virusi vya Corona.
Angalia kidogoChina ina uwezo wa kufanya haya yote. Sioni suluhisho hiyo inafaa Afrika. Labda uko na haki. Tofauti kubwa ni vile waafrika wengi wanategemea kazi wao wa kila siku za jua kali.
China ina uwezo wa kufanya haya yote. Sioni suluhisho hiyo inafaa Afrika. Labda uko na haki. Tofauti kubwa ni vile waafrika wengi wanategemea kazi wao wa kila siku za jua kali.
Angalia kidogoItasaidia - lakini swali muhimu ni kwa gharama gani tunataka kupunguza ukasi wa virusi. Bado sina hakika zote hizo zinafaa kabisa. Lakini bora tuwe na umakini kukabili janga la dharura kama hili. Inabidi tukumbuke wale wanaoweza kukwama na njaa.
Itasaidia – lakini swali muhimu ni kwa gharama gani tunataka kupunguza ukasi wa virusi. Bado sina hakika zote hizo zinafaa kabisa. Lakini bora tuwe na umakini kukabili janga la dharura kama hili. Inabidi tukumbuke wale wanaoweza kukwama na njaa.
Angalia kidogoRaia wa Kenya wanafaa kuzuiwa kutembea iwapo inchi itawapa raia chakula. Kuwaambia raia wakae kwa nyumba bila kuwapa chakula, haifai kamwe.
Raia wa Kenya wanafaa kuzuiwa kutembea iwapo inchi itawapa raia chakula. Kuwaambia raia wakae kwa nyumba bila kuwapa chakula, haifai kamwe.
Angalia kidogo