Mimi naona hana matatizo kama inasaidia. Watu wawe na haki ya kufanya wanavyotaka. Katika mila za Afrika na nchi nyingi zingine duniani kuna uwezo wa kuoa wake kadhaa (wakati mwingine yapo majamii yaliokubali wanawake waolewe mume kadhaa). Tuendelee kwa namna taratibu kuelekea hali ambapo siku mojSoma zaidi
Mimi naona hana matatizo kama inasaidia. Watu wawe na haki ya kufanya wanavyotaka. Katika mila za Afrika na nchi nyingi zingine duniani kuna uwezo wa kuoa wake kadhaa (wakati mwingine yapo majamii yaliokubali wanawake waolewe mume kadhaa).
Tuendelee kwa namna taratibu kuelekea hali ambapo siku moja kila mtu atakuwa na mtu moja pekee siku za usoni.
kosa - mungu alitaka tuwe na mtu moja ndio hatuwezi kupenda zaidi ya watu mmoja. Lakini neema yake anafahamu haja ya kuoa zaidi ya mara moja. Tukiwa na machaguo basi bora mtu moja.
kosa – mungu alitaka tuwe na mtu moja ndio hatuwezi kupenda zaidi ya watu mmoja. Lakini neema yake anafahamu haja ya kuoa zaidi ya mara moja. Tukiwa na machaguo basi bora mtu moja.
Cloudy2

Angalia kidogoCarolGK
Ukitaka kumuoa bibi ya pili. Mpe talaka yule wa kwanza. Haina haja kuoa wake wawili

Angalia kidogoMkubwa

Angalia kidogo