Nimesikia fununu eti Korona si ugonjwa wa kawaida ila umetegenezewa kwa labu ya nchi moja duniani? Kwa maoni yako Korona ni ugonjwa wa kawaida kweli?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Ugonjwa sio kawaida kwa namna ilivyo hatari kuliko maradhi mengine. Ingawa inabidi kutaja kwamba wengi walitarajia maradhi moja kama hizo ziliweza kuibuka duniani. Watalaam walisema hayo zamani akiwemo Bill Gates. Wengine wanashangaa eti hii ni ya nchi fulani? Labda. Lakini naona hakuna la msingi saSoma zaidi
Ugonjwa sio kawaida kwa namna ilivyo hatari kuliko maradhi mengine. Ingawa inabidi kutaja kwamba wengi walitarajia maradhi moja kama hizo ziliweza kuibuka duniani. Watalaam walisema hayo zamani akiwemo Bill Gates.
Angalia kidogoWengine wanashangaa eti hii ni ya nchi fulani? Labda. Lakini naona hakuna la msingi sana kwa fikra hizo. Ni ngumu kujua ukweli bila shaka, hasa juu ya fununu nyingi zinazoendesha na nchi zinazokabiliana sana kama China na Marekani. Ndio hizo nchi mbili zinalaumiana.
Kitu kimoja ni wazi – nchi za Afrika hazikujihusisha jambo hili la Corona.
Sio ya kawaida lakini pia sio ya labu
Sio ya kawaida lakini pia sio ya labu
Angalia kidogoVirusi vingi havikuangi vya kawaida. Naamini Corona ilitengenezwa mahabarani japo hawakutarajia madhara yake yatakuwa makubwa hivi. Hii imedhibitishwa na jinsi uchina hawajakuwa wakweli na hili swala zima la Corona. Aliyetengeneza gonjwa hili anafaa atafutwe na achukuliwe hatua kali za kisheria
Virusi vingi havikuangi vya kawaida. Naamini Corona ilitengenezwa mahabarani japo hawakutarajia madhara yake yatakuwa makubwa hivi. Hii imedhibitishwa na jinsi uchina hawajakuwa wakweli na hili swala zima la Corona. Aliyetengeneza gonjwa hili anafaa atafutwe na achukuliwe hatua kali za kisheria
Angalia kidogo