Inaonekana watu wana mafeelings mbalimbali kwa kanisa siku hizi. Serikali inasema tusiwe na mikusanyiko ya watu ikiwemo kanisa. Lakini ni muhimu sana watu wawe pamoja na mungu wakati wa changamoto. Watu wanawezaje kuwa mja mungu wakiomba wakati huo? Viongozi wana jukumu gani? Mungu atusaidie!

Mzungu
Wajibu ya kanisa wakati huo ni ya kutoa sapoti ya kiroho. Saa zote tuna mahitaji hayo hasa muda hii ya Corona

Angalia kidogoERIC
Jinsi nijuavyo kanisa ni roho ila si jengo. So iwapo utamuomba na kumuamini mungu uwe kanisani au nyumbani, mungu atasikia na kuyajibu maombi yako.

Angalia kidogo