Ugonjwa wa Korona ni hatari mno. Kwa miezi tatu iliyopita umeweza kuadhiri dunia yote Sana.
Watu wengi wana mawazo tofauti ambayo yanafaa kutekelezwa, kuhusiana na ugonjwa huu.
Je unawaza vipi kutokana na ugonjwa huu?
Je wazo lako ni gani kufuatilia ugonjwa hatari wa Korona?
Shea
Ugonjwa wa korona ni hatari sana. Umeua watu wengi sana na pia kuiadhiri uchumi. Pia umeleta ugomvi, chuki na unyanyapaa kati ya mataifa yaliyoadhirika
Ugonjwa wa korona ni hatari sana. Umeua watu wengi sana na pia kuiadhiri uchumi. Pia umeleta ugomvi, chuki na unyanyapaa kati ya mataifa yaliyoadhirika
Angalia kidogo