Nimewahi kusikia malaria yaua sana lakini sijui idadi kwa hasa. Naona ni muhimu kujua mara ngapi Korona ni hatari zaidi kwa watu. Baki salama na chukueni hatua za kujilinda.

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
Mkubwa
Idadi wa vifo kutokana na malaria ni wengi inasemekana. Maanake ni wengi zaidi ya mambo mengine nchini. Shida enyewe ni ngumu kujua kamili maana vifo vyingi haviripotiwi kwa hivyo wanasayansi anafanya makadirio tu bila kujua sana.

See less