Hivi majuzi kumekite visa kadha hasa nchini Kenya pale ambapo wanaume wameadhibiwa na wapemzi kwa njia isiyo bora. Kwa mfano; Kutokea visa pale ambapo mwanamke mmoja amechanja kifuani mwanaume mmoja ambaye aliku ni mpenzi wake. Je, nini ambacho wanaume wanatenda ambalo inachangia katika kutokea kwa visa kama hivi?
Shea
Si kila mwanaume amelegea, ni baadhi tu. Na kwa kadiri idadi ya watu inavyoongezeka uwiano wa wanaume wanaolegea pia huongezeka. Vile vile, jambo hili linaweza kuwa ni tatizo la muda mfupi kutokana na msongo wa mawazo au sababu nyingine zinazoweza kupatiwa matibabu hospitalini au tatizo kupotea lenySoma zaidi
Si kila mwanaume amelegea, ni baadhi tu. Na kwa kadiri idadi ya watu inavyoongezeka uwiano wa wanaume wanaolegea pia huongezeka. Vile vile, jambo hili linaweza kuwa ni tatizo la muda mfupi kutokana na msongo wa mawazo au sababu nyingine zinazoweza kupatiwa matibabu hospitalini au tatizo kupotea lenyewe bila ya matibabu. Ni muhimu kuepuka kufanya mahitimisho ya jumla – SI WANAUME WOTE WALIOLEGEA, NI WACHACHE TU!
Angalia kidogoNdio. Wanaume wa kisasa wamelegea kwa majukumu. Wengi wao wanataka wasaidiwe na wanawake wao ama ata walishwe na hao hao wanawake wao. Na ilihali wanajidai eti wao ndio kichwa cha familia. Nini itadhihirisha kuwa wao ni vichwa ilihali ni wanaume kama mabinti?
Ndio. Wanaume wa kisasa wamelegea kwa majukumu. Wengi wao wanataka wasaidiwe na wanawake wao ama ata walishwe na hao hao wanawake wao. Na ilihali wanajidai eti wao ndio kichwa cha familia. Nini itadhihirisha kuwa wao ni vichwa ilihali ni wanaume kama mabinti?
Angalia kidogo