Kila mtoto huwa na ndoto ambayo angependa kuitimiza atakapokuwa mkubwa. Ni asilimia kidogo sana ambayo hufikia ndoto hizo. Je, ulikuwa na ndoto gani utotoni wako? Ushaitimiza? Iwapo hapana, bado unaona utaitimiza ama la?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Muda wa kushinda umekwisha
Bado unaweza kutoa jibu!
Bado sijatimiza maana hamna opportunity. Maskini hana lake.
Bado sijatimiza maana hamna opportunity. Maskini hana lake.
Angalia kidogo