Jukwaa hili lina maana Sana katika jamii ningependa kuona majukwaa zaidi kama hata. Kupitia jukwaa hili unaweza elimika na pia mambo ambayo huyaelewi vizuri unaweza kuuliza na kupata majibu take. Ningeuliza mfungue majukwaa mengi kama hili, Jambo hili litasaidia kufikia watu wengi zaidi. Pia mnawezaSoma zaidi
Jukwaa hili lina maana Sana katika jamii ningependa kuona majukwaa zaidi kama hata.
Kupitia jukwaa hili unaweza elimika na pia mambo ambayo huyaelewi vizuri unaweza kuuliza na kupata majibu take. Ningeuliza mfungue majukwaa mengi kama hili, Jambo hili litasaidia kufikia watu wengi zaidi. Pia mnaweza kufungua majukwaa ya lugha zingine ili kufikia Hadi wasioelewa Kiswahili.
Iwapo majukwaa mengine yataweza kuongezwa kwenye tuvuti, hii itakua bora ilikumpa mtu yeyote nafasi ya kuchangia kwenye tuvuti. Majukwaa yanatumika kuandaa mijadala kuhusu changamoto au matukio tunayopitia kila siku katika maisha. Kila mmoja anapewa nafasi ya kutoa mchango wake kuhusu swali lenyewe,Soma zaidi
Iwapo majukwaa mengine yataweza kuongezwa kwenye tuvuti, hii itakua bora ilikumpa mtu yeyote nafasi ya kuchangia kwenye tuvuti. Majukwaa yanatumika kuandaa mijadala kuhusu changamoto au matukio tunayopitia kila siku katika maisha. Kila mmoja anapewa nafasi ya kutoa mchango wake kuhusu swali lenyewe, jawabu zinazo tolewa kama wazo au mchango, linaweza kuwa suluhisho ya matatizo ambayo tunayapitia kila uchao maishani.
Jukwaa hili lina maana Sana katika jamii ningependa kuona majukwaa zaidi kama hata. Kupitia jukwaa hili unaweza elimika na pia mambo ambayo huyaelewi vizuri unaweza kuuliza na kupata majibu take. Ningeuliza mfungue majukwaa mengi kama hili, Jambo hili litasaidia kufikia watu wengi zaidi. Pia mnawezaSoma zaidi
Jukwaa hili lina maana Sana katika jamii ningependa kuona majukwaa zaidi kama hata.
Angalia kidogoKupitia jukwaa hili unaweza elimika na pia mambo ambayo huyaelewi vizuri unaweza kuuliza na kupata majibu take. Ningeuliza mfungue majukwaa mengi kama hili, Jambo hili litasaidia kufikia watu wengi zaidi. Pia mnaweza kufungua majukwaa ya lugha zingine ili kufikia Hadi wasioelewa Kiswahili.
Iwapo majukwaa mengine yataweza kuongezwa kwenye tuvuti, hii itakua bora ilikumpa mtu yeyote nafasi ya kuchangia kwenye tuvuti. Majukwaa yanatumika kuandaa mijadala kuhusu changamoto au matukio tunayopitia kila siku katika maisha. Kila mmoja anapewa nafasi ya kutoa mchango wake kuhusu swali lenyewe,Soma zaidi
Iwapo majukwaa mengine yataweza kuongezwa kwenye tuvuti, hii itakua bora ilikumpa mtu yeyote nafasi ya kuchangia kwenye tuvuti. Majukwaa yanatumika kuandaa mijadala kuhusu changamoto au matukio tunayopitia kila siku katika maisha. Kila mmoja anapewa nafasi ya kutoa mchango wake kuhusu swali lenyewe, jawabu zinazo tolewa kama wazo au mchango, linaweza kuwa suluhisho ya matatizo ambayo tunayapitia kila uchao maishani.
Angalia kidogoNajua niko nje ya mada lakini pendekezo langu ni kuhusu zawadi. Ningeomba hizo zawadi mtutumie kwa mpesa wala si kwa airtime. Itakuwa bora zaidi
Najua niko nje ya mada lakini pendekezo langu ni kuhusu zawadi. Ningeomba hizo zawadi mtutumie kwa mpesa wala si kwa airtime. Itakuwa bora zaidi
Angalia kidogo