• Kuna Mshindi!

Je, unaweza kuoa au kuolewa na mtu ambaye si wa dini yako?

Kwa mfano, iwapo wewe ni mkristu, unaweza oa au olewa na muislamu ama mhindi? Vile vile, iwapo wewe ni muislamu unaweza kubali kuoa au kuolewa na mhindi ama mkristu?

Shea
  1. Kabisa! Dini si kigezo muhimu katika ndoa au mahusiano. Jambo kubwa ni kupendana na kukubaliana.

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali