• Kuna Mshindi!

Mchanga

Je, unapenda muziki wa aina gani?

Je ni bongo? Genge tone, Kapuka, Hip-hop, Rnb, reggae, nyimbo za injili ama ni gani?

Shea
  1. Mimi hupenda muziki wa aina nyingi kutegemea na hali iliyopo kwa wakati huo. Pia ni mpenzi wa vionjo na tamaduni tofauti katika muziki na maisha kwa ujumla.

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali