Je, unaonaje hali ya uhuru na haki za wananchi wa Tanzania katika kipindi cha pili cha Rais John nmagufuli? Je, uhuru utaheshimiwa au utazidi kuminywa?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Muda wa kushinda umekwisha
Bado unaweza kutoa jibu!
Hali ya uhuru na haki sioni kuwa nzuri katika uongozi wa makufuli. Uongozi wa Rais Magufuli umezingatia kujenga Tanzania na kuboresha uchumi. Uongozi wake hauzingatii haki na uhuru.
Hali ya uhuru na haki sioni kuwa nzuri katika uongozi wa makufuli. Uongozi wa Rais Magufuli umezingatia kujenga Tanzania na kuboresha uchumi. Uongozi wake hauzingatii haki na uhuru.
Angalia kidogo