Je, swali kuhusu dira.

Je, kwa nini twasema “kusini mwa” ama “kaskazini mwa” ilhali hatuongei kuhusu undani wa kitu kama vile chumbani mwa ama tumbona mwa na kadhalika?

Shea
  1. Tamko mwa si kimiliki lakini kwa ni kimiliki. Kwa hivyo kumiliki kile chumba tunasema chumbani kwa ama chumbani kwake.

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali