1. Kwanza kwa ajili ya Corona, si vyema kwa manufaa yetu sisi wananchi. Hii inaweza kusababisha uenezaji wa virusi vya Corona. 2. Wanamuziki ni vyema wawe na njia bunifu za kuendeleza kazi yao hasaa wakati nchi inakabiliana na Corona. Mfano kama vile, kuchapisha miziki yao kwenye Youtube au kwenye mSoma zaidi
1. Kwanza kwa ajili ya Corona, si vyema kwa manufaa yetu sisi wananchi. Hii inaweza kusababisha uenezaji wa virusi vya Corona.
2. Wanamuziki ni vyema wawe na njia bunifu za kuendeleza kazi yao hasaa wakati nchi inakabiliana na Corona. Mfano kama vile, kuchapisha miziki yao kwenye Youtube au kwenye mitandao ya kijamii.
Serikali haifai kuruhusu wanamziki kufanya mikutano ya kibiashara na umma kwani ni hatari sana haswa wakati huu wa janga la corona. Siku hizi kuna majukwaa mengi mkondoni ambayo unaweza kufanya mikutano mkondoni. Hivyo, wanafaa wafuate mtindo huo kuliko kuhatarisha maisha ya umma.
Serikali haifai kuruhusu wanamziki kufanya mikutano ya kibiashara na umma kwani ni hatari sana haswa wakati huu wa janga la corona. Siku hizi kuna majukwaa mengi mkondoni ambayo unaweza kufanya mikutano mkondoni. Hivyo, wanafaa wafuate mtindo huo kuliko kuhatarisha maisha ya umma.
1. Kwanza kwa ajili ya Corona, si vyema kwa manufaa yetu sisi wananchi. Hii inaweza kusababisha uenezaji wa virusi vya Corona. 2. Wanamuziki ni vyema wawe na njia bunifu za kuendeleza kazi yao hasaa wakati nchi inakabiliana na Corona. Mfano kama vile, kuchapisha miziki yao kwenye Youtube au kwenye mSoma zaidi
1. Kwanza kwa ajili ya Corona, si vyema kwa manufaa yetu sisi wananchi. Hii inaweza kusababisha uenezaji wa virusi vya Corona.
Angalia kidogo2. Wanamuziki ni vyema wawe na njia bunifu za kuendeleza kazi yao hasaa wakati nchi inakabiliana na Corona. Mfano kama vile, kuchapisha miziki yao kwenye Youtube au kwenye mitandao ya kijamii.
Serikali haifai kuruhusu wanamziki kufanya mikutano ya kibiashara na umma kwani ni hatari sana haswa wakati huu wa janga la corona. Siku hizi kuna majukwaa mengi mkondoni ambayo unaweza kufanya mikutano mkondoni. Hivyo, wanafaa wafuate mtindo huo kuliko kuhatarisha maisha ya umma.
Serikali haifai kuruhusu wanamziki kufanya mikutano ya kibiashara na umma kwani ni hatari sana haswa wakati huu wa janga la corona. Siku hizi kuna majukwaa mengi mkondoni ambayo unaweza kufanya mikutano mkondoni. Hivyo, wanafaa wafuate mtindo huo kuliko kuhatarisha maisha ya umma.
Angalia kidogoSi tendo la busara haswa wakati huu dunia linapambana na janga la Korona. Mikutano inaweza ineza ugonjwa huu.
Si tendo la busara haswa wakati huu dunia linapambana na janga la Korona. Mikutano inaweza ineza ugonjwa huu.
Angalia kidogo