Hivi majuzi Rais wa Tanzania Magufuli ameweza kupuuza virusi vya Korona na kusababisha idadi kubwa ya watanzania kuathirika. Je, kutakuwa na maafa mengi kutokana na Korona nchini Tanzania? Toa maoni yako.
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
CarolGK
Wacha kila Rais apambane na nchi yake atakavyo lakini wafikirie sana matokeo ya maamuzi yao. Kwa maoni yangu, uhai ni bora zaidi kuliko uchumi.
Wacha kila Rais apambane na nchi yake atakavyo lakini wafikirie sana matokeo ya maamuzi yao. Kwa maoni yangu, uhai ni bora zaidi kuliko uchumi.
Angalia kidogoERIC
Jinsi nchi jirani Tanzania inapopuuza Sheria zilizopitishwa na ofisi kuu ya afya duniani (WHO) kwa maoni yangu naona wakiadhirika pakubwa sana. Rais wa Tanzania John Kapombe Magufuli anaonekana kuichukua janga hili kama Jambo la kawaida. Badala ya Magufuli kuwasihi raia wa Tanzania kujikinga na ugonSoma zaidi
Jinsi nchi jirani Tanzania inapopuuza Sheria zilizopitishwa na ofisi kuu ya afya duniani (WHO) kwa maoni yangu naona wakiadhirika pakubwa sana.
Rais wa Tanzania John Kapombe Magufuli anaonekana kuichukua janga hili kama Jambo la kawaida.
Badala ya Magufuli kuwasihi raia wa Tanzania kujikinga na ugonjwa huu anawasihi waendeleze na shughuli zao ili kuhakikisha uchumi umeimarika.
Kwa maoni yangu Tanzania itahadhirika pakubwa na ugonjwa huu siku za usoni.
Angalia kidogo