• Kuna Mshindi!

Je, nijuaje kama mwanamume ni mtu mkweli katika uhusiano?

Wanaume wanadanganya sana katika uhusiano kuliko wanawake. Tabia gani mwanzoni zinaashiria mtu ni mbaya ama mdanganyifu?

Shea
  1. Jibu hili lilihaririwa.

    Jinsi anavyohusiana na simu yake. Kama anaitumia kwa kuficha kuficha au kwa njia isiyoeleweka basi jua hapo kuna jambo na huyo hawezi kuwa mkweli

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali