Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Jilogisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
Weka sahihiJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Ziada
    • Kutuhusu
    • Vyeo
    • Tagi
    • Wenzako
    • MUS

Profile menu

MamaYako
MamaYako
  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.23/01/2021 saa 7:20 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.22/01/2021 saa 5:46 mu
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako21/01/2021 saa 4:48 mu
      • Admin alipiga kura kwa swali lako.21/01/2021 saa 4:48 mu
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako19/01/2021 saa 12:13 mu
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 8775
Inashughulikiwa
MamaYako
MamaYako

MamaYako

  • Sio mama mboga
  • 4 Maswali
  • 17 Majibu
  • 2 Majibu Bora
  • 76 Pointi
Ona Wasifu
MamaYako
Uliulizwa: 27/12/20202020-12-27T02:33:59-03:00 2020-12-27T02:33:59-03:00Katika: Siasa

Je, ni wanasiasa wa Tanzania wangapi walidai Asylum baada ya uchaguzi 2019

Je, ni wanasiasa wa Tanzania wangapi walidai Asylum baada ya uchaguzi 2019
  • 1
  • 2
  • 1
  • 0
Jibu
Shea
  • Picha za

    2 Majibu

    • yenye Kura
    • Mapya
    • ya Zamani
    1. Cloudy2

      Cloudy2

      • Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
      • 8 Maswali
      • 30 Majibu
      • 2 Majibu Bora
      • 92 Pointi
      Ona Wasifu
      Cloudy2 Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
      2021-01-05T00:15:36-03:00Alijibu 12:15 mu

      Ni Godbless Lema na Tundu Lissu.  Yule wa kwanza ako Canada na yule mwengine ako Belgium alipokuwepo kabla ya uchaguzi akipona majeraha yake ya zamani aliyopata Dodoma akipigwa risasi.

      Ni Godbless Lema na Tundu Lissu.  Yule wa kwanza ako Canada na yule mwengine ako Belgium alipokuwepo kabla ya uchaguzi akipona majeraha yake ya zamani aliyopata Dodoma akipigwa risasi.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp
    2. Mzungu

      Mzungu

      • Lugha ndio daraja
      • 1 Swali
      • 9 Majibu
      • 0 Majibu Bora
      • 43 Pointi
      Ona Wasifu
      Mzungu Lugha ndio daraja
      2020-12-27T02:38:40-03:00Alijibu 2:38 mu

      Si Tundu Lissu alikuwa mmoja wao?  inaonekana ataishi kwetu wazungu kwa muda

      Si Tundu Lissu alikuwa mmoja wao?  inaonekana ataishi kwetu wazungu kwa muda

      Angalia kidogo
      • -1
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 09/01/2021
      • Majibu: 2

      Je, wapwani wana nafasi yao stahili kwenye urais?

      • Tarehe: 22/11/2020
      • Jibu: 1

      Je, unaonaje hali ya uhuru na haki za Watanzania katika ...

      Je, unaonaje hali ya uhuru na haki za wananchi wa Tanzania katika kipindi cha pili cha Rais John nmagufuli? Je, uhuru utaheshimiwa au utazidi kuminywa?

      • Tarehe: 29/07/2020
      • Majibu: 0

      Je, kuna athari gani kwa nchi za Afrika kutokana na ...

      Migogoro isiyokwisha kati ya mataifa makubwa ya China na Marekani imepelekea kutokea kwa mgogoro mkubwa wa kidiplomasia kati ya nchi hizo. Hivi karibuni Marekani ilifunga ubalozi wa China huko Houston, Texas, na China ikalipa kisasi kwa kufunga ubalozi wa Marekani

      • Tarehe: 14/06/2020
      • Majibu: 0

      Je, una maoni gani kuhusu uhusiano kati ya Rais Uhuru ...

      Fafanua madhara ya uhusiano huu na mkondo unaochukua kisiasa

    • Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo cha George Floyd?
      • Tarehe: 06/06/2020
      • Majibu: 3

      Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo ...

      Athari ya maandamano Marekani ni kubwa duniani. Naona watu wa Afrika Mashariki wana shauri za kivyake. Ni vipi?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 30/04/2020
      • Majibu: 3

      Unasemaje "habari yako" kwa kifaransa?

      Watu wanasalimu namna gani kwa kifaransa nchini Kongo? Nauliza namna ilio kawaida kati marafiki na sio ile sahihi sana.

    • Kanisa ina jukumu gani wakati huo gumu wa kutokea janga la Corona?
      • Tarehe: 02/04/2020
      • Majibu: 2

      Kanisa ina jukumu gani wakati huo gumu wa kutokea janga ...

      Inaonekana watu wana mafeelings mbalimbali kwa kanisa siku hizi. Serikali inasema tusiwe na mikusanyiko ya watu ikiwemo kanisa. Lakini ni muhimu sana watu wawe pamoja na mungu wakati wa changamoto. Watu wanawezaje kuwa mja mungu wakiomba wakati

    • Kweli mwanzoni Burundi ililindwa corona na neema ya mungu?
      • Tarehe: 31/03/2020
      • Majibu: 2

      Kweli mwanzoni Burundi ililindwa corona na neema ya mungu?

      Sasa inaonekana hata Burundi iko na visa vya maambukizi ya corona. Ndio walikuwa wanasema labda neema ya mungu ililinda nchi yake. Hongera kwake kwa kuepusha corona mpaka sasa. Nchi ya burundi iko kwa hali maskini zaidi ya

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Ziada
      • Kutuhusu
      • Vyeo
      • Tagi
      • Wenzako
      • MUS

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi

    Lugha Saidizi

    • swKiswahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrançais