Je, ni vyakula gani vinavyoongeza kinga mwilini?

Hasa wakati huu wa janga la corona tunahimizwa sana tule vyakula ambavyo vinaongeza kinga mwilini.

Shea
  1. Ninadhani kwamba mbogamboga na matunda huongeza kinga mwilini. Virutubisho vingine pia huchangia kwa kiwango fulani katika kuongeza kinga ya mwili.

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali