• Kuna Mshindi!

Je, Shirika la Afya Duniani (WHO) itaendeleaje bila ufadhili wa Raisi Donald Trump?

Sasa hivi rais wa marekani ametangaza kukatisha uhusiano na WHO.

Shea
  1. Nafikiri kwamba Rais Trump atarejesha ufadhili baada ya matakwa yake kutimizwa maanake mara nyingi yeye hutumia vitisho badala ya ushawishi.

    • 2
  2. Jibu hili lilihaririwa.

    Hao watu wa WHO hawatakuwa na shida.  Marekani hataki jukumu la kuongoza tena.

    • 0

You must login to add an answer.