Kutokana na sintofahamu hii ya Corona, kuna uwezekano mkubwa ligi kuu ya England ikahairishwa mpaka msimu ujao. Nini maoni yako, je ni vema tukaipa ubingwa wa msimu huu club ya Liverpool?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Ni Kweli ligi kuu ya England inaweza kuhahirishwa kutokana na ugonjwa wa Korona. Kutokana na michezo iliyochezwa kabla ugonjwa wa Korona hujaenea duniani, ni bayana Liverpool ndo washindi watarajiwa. Iwapo mchezo hii itapelekwa mwaka ujao timu ya Liverpool wanafaa kupewa ligi.
Liverpool wanafaa sana kuwa mabingwa. Walicheza mchezo mzuri sana msimu huu.
Liverpool wanafaa sana kuwa mabingwa. Walicheza mchezo mzuri sana msimu huu.
Angalia kidogo